Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Arsenal are unbeaten at home in the Premier League with Howard Webb as referee (W10 D5 L0).
#Interesting fact!!
#Interesting fact!!
Hivi we huna Jukwaa...mbona unatujaazia utumbo wako hapa? Nyie jana kwenu hata page moja hamjajaza na we ulikimbia imekuaje unaleta shombo huku? Eti we gonna bounce back....wfk?? I biliv in MUSA
Nimetoka kuangalia mechi dhidi ya Everton, morali ya Arsenal hainiridhishi kabisa, tunawaonea sana vibonde lakini tunapokutana na mitihani ya kweli tunashindwa kuonyesha uwezo wetu, sasa sijui hizi mechi mbili kati ya Chelsea na Man City kama tutachomoka. Napata wasiwasi sana isije ikawa ni nguvu ya soda. wenzangu mnaonaje?
Arsenal don't compare themselves with Man United
We are on the top while you guys are fighting all out with mid tables teams.
your soon to be a relegation team.
Nimetoka kuangalia mechi dhidi ya Everton, morali ya Arsenal hainiridhishi kabisa, tunawaonea sana vibonde lakini tunapokutana na mitihani ya kweli tunashindwa kuonyesha uwezo wetu, sasa sijui hizi mechi mbili kati ya Chelsea na Man City kama tutachomoka. Napata wasiwasi sana isije ikawa ni nguvu ya soda. wenzangu mnaonaje?
Ooppss....don't go there please....otherwise you will make a mug out of yourself!!!
Sure. We are all ready for a catch up game.....
Goons have dropped 2 points today, and next are Shitty and Pensioners......
#ManUnited are ready for a catching up game
Everton ni moja kati ya timu bora sana msimu huu, ndio timu pekee iliyopoteza mechi moja tu msimu huu... usiwe na shaka mkuu, hii ni moja ya test ngumu msimu huu. Mechi mbili kati ya Man City then Chelshit ni mtihani mwingine ambao naamini tutapata points kadhaa.
Hofu yangu kama hatutashinda mechi hizi, baada ya Christmass tutakuwa na wakati mgumu sana wa kunyakua ubingwa.
Quitting already? Don't be a quitter chap!
Watu wamesahu kuongelea jinsi Chelsea walivyofanyiwa mbaya na Stoke kule Liberty Stadium ambako Arsenal tuliwafunga haohao Stoke, au Man City ambao jana nao wakatoa sare na Southampton, hakuna mjadala huo.
Sembuse Arsenal kuwa 5 points clear leo hii.