Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I told you sooooooo 3-0, Nzi nilikwambia jana hawa wetu tena nikakupa na idadi ya magoli kwi kwi kwi kwi rahaaaaaaaaaa ndani ya rohooooo

 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Kwi kwi kwi kwi kwi Nani kapotea Bro Nzi!? lol!!!! au ndio umeamua kulala mapema leo? hahahahaha


Haya bana...angalia husije ukapotea humu!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
LoL!!!!! Tumemchapa mtu Mkuu Mbu 3-0 na kuongeza gap na sasa kuwa 7 points at least for 24 hours.



......Kaka BAK nambie ndugu yangu matokeo vipi huko?
#Boksi lilinikamata 'pabaya' ndio kwanza nakurupuka usingizini!....
Nzi.....dahhh, upo?
hehehe....

 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
....ebana eee!!!

hahahaha, safari hii #Mburukenge kila wakijitutumua wanapewa za uso...
nimelikosa game leo, ache nisubirie nne usiku #MatchOfTheDay kuangalia highlights,

Boksi la Alfajir ya leo mnh, na winter hili wazungu wataua...!
Nzi.....salaam zake Belo,
safari hii #Mtazoea tu, hivyo hivyo kiubishi ubishi!



LoL!!!!! Tumemchapa mtu Mkuu Mbu 3-0 na kuongeza gap na sasa kuwa 7 points at least for 24 hours.
 
Reactions: BAK
We acha tu Mkuu, kuna kipindi kulikuwa kunatandazwa mkeka uwanjani mpaka raha, Dah!!!! halafu goli zote tatu tamuuuu, acha #mburukenge wasuse leo kuingia huku lol!!!!

BAK siku hizi weekend huwa inakuwa bomba sana...mpira safi...magoli bomba na shezn kakomaa kinyanda.
 
Hahahahahahaha watu walisimamishwa na Cardifu lakini kitu cha ajabu leo walikuwa wanamshangilia Cardifu. Hatarii Saaanaa!!.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…