godsonswai
Senior Member
- Feb 1, 2013
- 129
- 54
EMT
Baada ya miaka miwili tuwasiliane
Hicho kipindi chote ambacho Arsenal haikuchukuwa ubingwa nani alikuwa Coach wa Chelsea?Wacha tuanze tena hesabu safari hii mutabadilisha makocha wangapi?
Leo Asenal 0-5 Liverpool,wafungaji kama kawaida,SAS!Suarez 3,Dani Star 2,watu tunakaa kileleni tunasubiri wa mbele.
YWNWA.
Mimi yangu ni POLENI IN ADVANCE.
Uko ndotoni wewe, kibao kitageuka.Leo Asenal 0-5 Liverpool,wafungaji kama kawaida,SAS!Suarez 3,Dani Star 2,watu tunakaa kileleni tunasubiri wa mbele.
YWNWA.
Huijui Arsenal wewe,muulize mstaafu calagher...alishawahi kusema Arsenal wakiwa uwanjani ni kama wapo kumi na tatu(13).Leo Asenal 0-5 Liverpool,wafungaji kama kawaida,SAS!Suarez 3,Dani Star 2,watu tunakaa kileleni tunasubiri wa mbele.
YWNWA.
Mimi yangu ni POLENI IN ADVANCE.
Nawatakia droo njema....
Mimi yangu ni POLENI IN ADVANCE.
Majirani wamejeruhiwa,,,,,,,,,baadae watakuja kuhamishia hasira zao hapa.
Vp kule Craven Cottage Kutakuwa salama kweli?
Naona unaogopa kumpa Pole Peasant na Mentor
Leo una nguvu kweli rafikhi,hongereni.Fulham 0 Man United 3 (Antonio 10, RvP 20, Rooney 22).
First half is about to end..
Leo una nguvu kweli rafikhi,hongereni.
Kuna watu, hasa wale wa darajani (Chelsick) wanahitaji kuwa na moyo wa aina yako Chifu...Lini sijawahi kuwa na nguvu?
Nifungwe, nitoke droo ama nishinde, nguvu ziko pale pale....
Kwani toka dakika ya kwanza, nafahamu matokeo ya mpira yanavyoweza kuwa: ushindi, droo ama kufungwa.