Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Keep informing us the scores guys, duuh! Leo nimepitwa hii game jamani
 
Dakika ya 80 arsenal 2 na napoli, giroud kakosa goli great save from pepe reina
 
Game tamu sana napoli washageuka kibra hawa

Tatizo mashabiki wanataka Arsenal ifungwe ili wafurahi sasa wakati kwenye UEFA timu za England yaani zinazotoka Premier League zitakapofanya vibaya ni kwamba wanapunguza idadi ya timu kama zilikuwa nne zinakuwa Tatu kama zamani sasa tuangalie sana kuleta upenzi wakati tunacheza UEFA mimi nadhani ni kuangalia mechi basi upinzani tukikutana EPL huko ndio kwa kuchekana,acha sasa na sisi tuonje RAHA ya miaka 8 ya kujijenga sasa tunakula mavuno 1. Uwanja wa Emirates 2. Tuna fedha ya kununua mchezaji kama 0zil 3. Mazingira yamekuwa mazuri ya kuvutia wachezaji wenye majina wanaocheza kiwango cha kimataifa



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 




Mesut Ozil gives Arsenal a good start against Napoli







Olivier Giroud
doubles Arsenal's advantage at the Emirates





Ramsey
kama kawa .... ...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…