Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wacha1,adolay,Pierre.fm
Hebu tupeni kikosi cha Leo cha ushindi na Swansea kama kipo hewani tayari...
Vp Rosicky yupo fit kuanza?

Mkuu kikosi huwa kinatolewa naManager at lest 1 hour kabla ya mechi, lakini leo kwa mtazamo wangu jinsi Prof anavyofanya mambo yake tegemea kikosi cha leo kuwa ndicho kitakwaana na Napoli J4 kwenye CL hivyo wachezaji wote ambao wako fit watakuwepo. Away game hii nitakuwa online wakati wa mechi tutegemee ushindi, lakini kumbuka Swans waliwapumnzisha wachezaji wao nyota kwenye kombe la mbuzi kujiandaa na mtanange wa leo. lots of fireworks. COYG.
 
wazee ninakwenda mzigoni unajuwa ukifanyakazi kwa gabachodi hakuna day off
ninamuomba Mungu atujaaliye kushinda leo kwani ligi ngumu safari hii
Nasikia huko kwa majirani kuna kiwingu kimetanda sijui kama watatoka leo
Muombee adui njaa
 
Szczesny, Sagna, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Wilshere, Ramsey, Flamini, Ozil, Gnabry, Giroud
 
Prof anaendelea na kikosi kile kile kilichomtungua Stoke ... .... ..... .... .. COYG.
 
Bring it on! Siku yangu itakamilika tukiondoka na all 3 points, City na Utd wote wamelala mwezi wa mwanzo Aug-Sept mara nyingi unatusumbua sana, mara hii ukizingatia tuko na list ndefu ya majeraha na tukiweza kuongoza ligi sio mchezo #COYG
 
The EPL table is up open for us to climb back to the TOP..... I dont see the reason WHY NoT!!!
 
EPL raha sana hata Wenzetu washaanza kujua uchungu wa kufungwa na kumchukia manager The Chosen One, dah hihihi EPL kazi kweli kweli ila naona Arsenal Kama Ozil atafanya aliyofanya Pires basi Arsenal itafika mbali komba tu marefa wasiue manage marefa kwa kuziuwa Lfc na Arsenal wanaongoza.
 
I too much biliv iin Arsene & Arsenal...but trend ya game zilizopita kwa leo sio nzuri...inabidi tukaze sana lasivo tutaabishwa leo!! Ngoja niwatch!!
 
..,,.. Nzi njoo ujifariji hapa....
 
Last edited by a moderator:
Girold Leo namuona kama game haijamkubali .. Hebu tusubiri labda atabadilika
 
Mbu nipo...leo ni mnyonge balaa...itabidi nipate uzoefu wa Wacha1 makelele juu ya kuishi na stress za kufungwa mfululizo..

Ila pamoja na unyonge wangu..adui daima ataombewa njaa...
 
Last edited by a moderator:
Huyu refa mpuuzi ule mpira ulikuwa umetoka ..... .... .... ... .
 
Girold Leo namuona kama game haijamkubali .. Hebu tusubiri labda atabadilika

Ngoma bado mbichi hii vijana wako vizuri wanawakabili tu hivi sasa kipindi cha pili Prof atabadili mambo .. ... ... uzuri wachezaji wanacheza kwa confidence
 
Back
Top Bottom