Inaelekea unatoka katika familia ya wafugaji au ulishawahi kuwa mchunga Ng'ombe. Maana wachungaji ndo huwa wana mawazo kama yako akishakaa machungani anaanza kuangalia mifugo na kuwaza mwaka huu ng'ombe mmoja akizaa nitakuwa nao sita na mwakani mwingine akizaa watakuwa saba hajui kuwa kuna kufa