Do you know the meaning of that word? Au ndio kukurupuka kwenyewe. Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtalia sana tu.
BTW nilikuwa namwangalia Rafa hapa kesha maliza mambo yake kwenye US open chacha namfuatilia Mr Woods ingawa anachechemea ... ..... ... kesho napanda ungo wangu natinga Emirates naona hali ya hewa itakuwa shwari. Chi unajua tena lazima Totts tuwabangue na huyu mia cat aliyetoroka kutoka kwenye cowshed.
Wapo Uefa CL elites lakini katika hilo basi Arsenal hapandi sababu hana vigezo vya kuwa mmoja wa CL elites. Kama umeshaibeba hiyo ndoo unaweza kuwa-considered as elite tena si mara moja ya one time wonder.
Gang Chomba atanisaidia . Ngoja nifaidi game ya LSU@TCU
always better shut up if you dont understand rather than just spitting some damn shit
Game saa ngapi inaanza tz-time?
TEAM NEWS
Leo Sagna anakaa bench na Carl Jekinson akichukua nafasi yake na Rosicky anaanza huku Flamini nae akiwa anaanzia bench.
Kwahio timu rasmi itakayocheza na Tottenham.
Wojciech Szczesny, Kieran Gibbs, Carl Jekinson, Per Mertesacker na Laurent Koscielny
Kiungo- Aaron Ramsey, Jack Wilshere na Thoams Rosicky
Ushambuliaji- Santi Cazorla Theo Walcott na Olivier Giroud.
KWENYE BENCH kuna:
Fabianski, Sagna, Monreal, Flamini, Zelalem, Gnabry na Sanogo
......COYG!!!
Mani-U kishawawakia kule,
Wanadonge haooo...
