Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaaamini kweli Real Madrid wanaweza kuwauzia wachezaji wote 3(Kaka,Benzema na Di Maria)?
Usajili wa Bale umechelewa sababu Spurs walisema hawatamuuza hadi wapate replacement yake (Lamela,Eriksen) so usajili wa Bale utakamilika wikiendi hiI

Hao ndo arsenal fans..........wamesahau matatizo yao baada ya kuingia champions league........hivi timu nyingi zimewatolea macho Ozil na Di maria sasa wenger sijui kama ataweza kushinda transfer race.
 
Mkuu Richard..hao Totenham aka chikens wasikuumize kichwa kabisa. Kila mwaka wamekuwa wakisajili lakini bado tunamaliza juu yao. Cha muhimu Wenger ni kuangalia wachezaji watakaoiwezesha timu kutwaa ubingwa msimu huu. Issue ya Dimaria mpaka sasa hivi Arsenal hawajasubmit bid yoyote na Dimaria mwenyewe anasema anataka kubaki Madrid kufight for his place.
 
Last edited by a moderator:
Unaaamini kweli Real Madrid wanaweza kuwauzia wachezaji wote 3(Kaka,Benzema na Di Maria)?
Usajili wa Bale umechelewa sababu Spurs walisema hawatamuuza hadi wapate replacement yake (Lamela,Eriksen) so usajili wa Bale utakamilika wikiendi hiI

Wenger angependa awasajili wote hao (lakini sio Kaka) Yaani Bemzema, Di Maria na Ozil lakini Benzema na Ozil wamekataa.

Benzema ni kwa ajili ya kuongeza mshambuliaji na Di Maria ni kuziba pengo la Podolski ambae sasa imethibishwa kwamba atarudi mwezi November, na Ozil ni kiungo wa ziada kumsaidia Thmas Rosicky.

Real Madrid wanaweza kuwauza ili kurudisha pesa waliyotumia kulipia usajili wake wa kutoka Tottenham.

Tusubiri tuone hiyo jumatatu na utaniambia yatakayotokea.
 
Wakuu amini msiamini Arsenal mwaka huu ina wachezaji kamili isipokuwa hao ambao ni majeruhi na Wenger alitaka kuongeza wachezaji watatu mahiri.

Lakini timu zinawasiliana na zinafahamu uzoefu wa Wenger katika kutambua vipaji na kila mchezaji ambae ana kipaji.

Pia msisahau kwamba Man Utd nao wana matatizo kama haya kwamba wakiwanunua Fellaini na Leighton Baines basi wataendelea kuwa watawala wa ligi kuu.

Au watu wanasahau kwamba Man Utd wanakataa kuruhusu Wayne Rooney kusajiliwa na Chelsea.

Hivyo timu za Arsenal, Man Utd, Man City, Chelsea, Liverpool na Tottenham msimu huu zitakuwa na uhasama wa kiasi fulani katika kugombea si tu ubingwa bali nafasi nne za juu kwenye ligi hiyo.
 
Tatizo kubwa iwe kokote duniani habari inayohusu arsenal inauza sana,Imefungwa Mancity ambayo imesajili wachezaji wa karibu £90M na huku walikuwa na kikosi bora lakini ulaya haikuwa habari mimi binafsi sioni kama kusajili majina makubwa ndio mafanikio ya uwanjani,angalia Tottenham msimu uliopita wamesajili kushinda arsenal matokeo yake amepata nafasi ya tano nyuma ya arsenal,Real Madrid wanajulikana kwa kutaka mchezaji bora kila mwaka na wanatoa hela kubwa kwa maana ya uwanjani msimu uliopita hawajaambulia kitu zaidi wao wamefanikiwa kuuza jezi na kuongeza mapato ya klabu,kwa Arsenal wamemsajili bure Flamini kiungo mkabaji ambae ndio tatizo kubwa la arsenal kwa msimu ulioisha natarajia kipa atasajiliwa maana mpaka sasa kipa ni wawili tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

upo sahihi mkuu tatizo ni kuwa mzee Wenger anatuchezea akili mashabiki haiwezekani miezi yote imempita ameshndwa kusajili zimebaki siku 2 ndio anasema atasajili, Ni ukweli ulio wazi kuwa Mr Bean (wenger) ameshindwa kushiba kwenye sinia na hawezi pia kushiba kwenye Kijiko.
Kiuhalisia siwezi amini kauli yoyote ya Wenger kwa sasa.
 

Dah!! kuna watu mna roho ngumu yani unaimani ya kipekee kwa kweli
 
Dah!......

Jirani una GUBU sijapata kuona......

Maana unaweza kukaa hata wiki haujapost kwenye Jukwaa la Chelsea lakini kutwa kucha uko hapa.......

mkuu si Unajua katika threads za timu thread hii ya arsenal ndio ya kitambo na pia ukizingatia Arsenal ni kama timu ya Taifa ndio maana wachangiaji wengi hata wasiohusika.
 
Yani nilivo na stress, kila masaa matatu nachek goal.com, skysports, the guardian, mirror, walau nione "breaking news"...
But holla!
Nakumbuka yule Arsenal fan akihojiwa na Arsenalfans TV alichosema "You get what you pay for, unless you are an Arsenal fan"
 
Mkuu Richard

Usiwe na wasi wasi
Gunners wanatisha ambaye hafahamu hilo afuatilie kwa ukaribu the UK media machine ikiongozwa na kina Adrian No 1 hater wa Prof. pamoja na masimango yasiyoisha yakiongozwa na yule mrusi ambaye anafikiri atainunua Gunners atabaki kuwa minority share holder tu. Alimwaga mpunga tangu three years back kutaka kuwachafua Gunners lakini uzuri moja Gunners wanaongozwa na wasomi sio wauza unga. Totts hawana lolote haya magalasa wanayoyaleta hayatafua dafu time will tell kitale kesho pale Emirates kitakuwa poa sana vijana wako ready na wameahidi kufanya vitu vyao.

Kuhusu usajili
Prof ana targets zake kama zitafanikiwa watakuwa signed kama vipi isiwe noma hatuwezi kuwekwa under pressure na viroboto. Msimu ndio umeanza na mmeona vile tulivyojipanga. Wachezaji majeruhi wengi watarudi kabla ya Dec. Hivyo mambo yote poa. Kuhusu CL we are there for verybody to see, we do not make the numbers.




Spurs have finished below Arsenal every year since 1995 ....
Tutaona ikifika may 2014 kama watafanikiwa .. .... ... ... .


BTW Nachikia the best team jana walifungwa. khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Maneno ya Prof kuhusu CL ... .... ..

 
Last season Spurs walisajili Hugo Lloris,Mousa Dembele,Jan Vertongen,Clint Dempsey,Lewis Holtby while Arsenal walisajili Olivier Giroud,Santi Cazorla,Lukas Podolki,Nacho Monreal na kumbuka Arsenal alimzidi Spurs point moja.Then kumbuka kuna Liverpool ambao nao timu yao imeanza kuimarika na wamefanya usajili mzuri msimu huu
 
European elites? Huna hata ndoo moja ya CL then utasema European elites?
Is this supposed to be a joke?

Do you know the meaning of that word? Au ndio kukurupuka kwenyewe. Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtalia sana tu.


BTW nilikuwa namwangalia Rafa hapa kesha maliza mambo yake kwenye US open chacha namfuatilia Mr Woods ingawa anachechemea ... ..... ... kesho napanda ungo wangu natinga Emirates naona hali ya hewa itakuwa shwari. Chi unajua tena lazima Totts tuwabangue na huyu mia cat aliyetoroka kutoka kwenye cowshed.
 
Reactions: BAK

Mkuu naona interests zetu zinafanana mno 🙂🙂 nami namuangalia TW hapa kabla nilikuwa namuangalia Nadal. Miaka ya nyuma nilikuwa camp Federer akaniboa nikahamia kwa Nadal ambaye siku hizi akicheza na yeyote yule nataka yeye ashinde. Kesho michapo miwili mizuri sana sitaki kukosa hata sekunde moja, ni mtihani mgumu sana kwa timu yetu. Kisha mchana kuna TW na tennis kutakuwa na Serena na Sloane mechi ambayo itakuwa na ushindani mkubwa sana (hopefully)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…