Arsenal (The Gunners) | Special Thread

love is blind.....

Inategemea na IQ yako. Prof ndiye aliyebadili culture ya mpira ambao ndo hivi sasa unawika, kila timu zinafuata nyayo za prof kuanzia anavyofanya mambo yake pale Colney hadi timu inapokuwa kwenye mpambano. Waulize Chelsick na timu nyingineza wamefanya nini kuiga mipango ya prof. Wacha kuwasikiliza hawa peas of ants waliotawaliwa na kugubikwa na chuki wivu udaku nk. au hawa supporters wa mashoga. Karibu Emirates uone vile tunavyotetemesha jiji la London kwa mipango kabambe. Hatushindi kwa mpunga wala kutetemesha marefa na kutoa rushwa, tunatandaza kitale. Chi uliona jinsi Chelsick walivyobebwa last game? Ilikuwa ni story kwenye kila chombo cha habari pale wingereza. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
a bit promising display today, bt still i'm not much confident with this team for the season long campaign
 

Kwanza nikusahihishe, Podolski alinunuliwa mapema, na Giroud alinunuliwa pia kabla pre season haijaanza. Sio kwa kuwa Wenger aliona Podolski hayuko fit pale kati.

Turudi kwenye mada. Kwa mtazamo wangu tunapocheza na Podolski, Walcott na Giroud timu inakuwa haina balance ndo maana Wenger mara nyingi hupenda kuweka midfielder iwe kushoto au kulia. Kumbuka kuna kipindi Ramsey alikuwa anacheza Left Wing au Right Wing. Hata Ukirudisha kumbukumbu ya timu za Wenger kina Fabregas, Hleb, Rosicky, Diaby, Wilshere ambao ni Central Midfielders ameshawachezesha kwenye winga ili kujaribu kuleta balance ya attack na defence kwenye timu na pia kiungo kisije kikazidiwa na timu pinzani. Podolski na Walcott (wamelalia upande wa strikers kuliko kuwa midfielders kama The Ox) huwa wana-drift sana kuja ndani katika jitihada za kuwa second striker hii mara nyingi inafanya tunaacha gaps ambazo full back wa timu pinzani wanaweza kutumia kutuumiza. Hii haimaanishi kuwa hawawezi kucheza pamoja lakini katika mechi ngumu.. tukiwa na Walcott na Podolski ambao sio wazuri sana katika possesion football timu inazidiwa kirahisi. Podolski is very effective, akiondoka tutakuwa tumepoteza gem. Conversion rate yake ni 37%, the best in the league. Ila tatizo ninaloona mimi ni hilo tu ambapo anakuwa victim kwa kuwa tunatafuta balance. Ni rahisi yeye kukaa nje kwa kuwa tuna midfielders ambao tayari ni wazuri kwenye left wing, Cazorla na Ox.
 
Good win by the team today. Now if only we could strengthen, we could actually do something this season.
 

chacha hatumuondoi prof..
 
Thanks Gunner. Solid team performance and entertainment.

Kwa kadri timu inavyopata game ndivyo inavyoendelea kucheza vizuri.

Plus 2 goals today and 3 points in BPL table.

Pole pole tutaheshimiana tu.

See you on next match at Emirates.
 

ur just obsessed with the man called arsene wenger.
 
Ni mpira tu, leo Man City kachezea kichapo, sijui pundits waliokuwa wanaisifia sana hiyo timu wiki iliyopita watasemaje!!! Kufungwa Arsenal mechi moja ilichukuliwa kama 'disaster'.
 



Confident -
Prof Arsene Wenger has promised
not to disappoint regarding transfers




Arsenal skipper Thomas Vermaelen
is back in light training after injury






Laurent Koscielny should be fit for the return leg of the CL play-off
against Fenerbahce, despite suffering from a head wound




The Arsenal team trained on Monday
ahead of their European fixture






Jack Wilshere was rested for the match with Fulham




In-form Olivier Giroud getting some advice from Prof Wenger







Only signing of the summer so far, Yaya Sanogo, in action






Lukas Podolski scored two goals on Saturday



BTW habari za Gunners zinawanyima wanoko usingizi .. .. .... ... ...


 
Yani ukiangalia mechi ya jana utaona ubingwa mwaka huu uko wazi kabisa. We should make sure we recruit at least one World Class player na wengine wawili au watatu kwa ajili ya depth if we want to win the league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…