Hao vimwana wana haki ya kumpamba Le profesa. Si unaona vinana wake wanavyojituma? 2-0 na bado twasonga
Hii ndio Arsenal
Hahahaa....Wenger leo atachonga sana. No one know the players than himself. Inabidi asajili lakini.Sasa, hakuna shida enh?!? Timu imekamilika, hakuna haja ya kusajili wala nini! Yaani mnawapiga Fenerbahce 3 mtungi kwao?!?
Hili chama lipo kamili. Na profesa kweli ni noma...
hilo analijua.Hahahaa....Wenger leo atachonga sana. No one know the players than himself. Inabidi asajili lakini.
Yeah kind ofJob well done, ilikuwa muhimu tushinde kuna biashara ilikuwa haifanyiki mpaka tuwahakikishie wachezaji fulani kwamba tuna-qualify champion ligi. So kuanzia kesho tunaweza ku-focus na biashara.
Trying to.....Game Over. Well done vijana wa Wenger. In you we Trust
chama gani wewe uko mkuu Nzi....!!!???Sasa, hakuna shida enh?!? Timu imekamilika, hakuna haja ya kusajili wala nini! Yaani mnawapiga Fenerbahce 3 mtungi kwao?!?
Hili chama lipo kamili. Na profesa kweli ni noma...
Yeah...lazima Wenger aimarishe baadhi ya positions. Anachofanya sasa hivi ni kuwajengea vijana waliopo confidence kuwa without any signing wanaweza. Na kweli vijana wanajituma sana. Kama Ramsey sasa hivi kaimprove sana.Trying to.....
Afanye kweli ili trust ya moyoni irudi.
trust iliyopo ni ya kusemea mdomoni
goodevening!Hawana Benteke hawa