Prof haendi kokote, msimu ndio kwanza tumecheza mechi moja wanoko na magazeti ya udaku ambao wamepewa mpunga na yule mrusi mjinga wanafikiri wanaweza kuwatetemesha Gunners.Kronke keshasema hamuuzii share zake yeye aendelee huko pembeni kujenga kambi lakini the programmme of Prof ipo pale pale. Msione wengi maneno mengi ni fitna pamoja na wivu.
Wote hawa kina Chelsick peas of ants pamoja na ma-sugar daddy wao wanafikiri tutaweweseka, mechi tumepoteza moja out of 38 what is the big deal? Its a marathon. mambo yote kesho kule kwenye kuwania CL si mnachubiri tufungwe mpige tarumbeta karibuni. Hii inaonyesha jinsi tunavyoweka agenda mtashangaa wenyewe time will tell.
Nyie kila msimu huwa mnahitaji wachezaji 3 wapya,Wenger amejitahidi kupunguza magarasa karibia 20(Gervinyo,Arshavin,Santos,Denilson et al) nikafikiri atafanya usajili wa maana kumbe yaleyale......game ijayo Man U wakipoteza utaskia mashabiki wao wanaitaka shingo ya Moyes!
Mourinho kasema sawasawa, ligi haitabiriki...yeyote aweza adhiriwa next game....so far anakwambia kuna 6 contenders wa EPL title!
.....Arsenal tunahitaji addition angalau wachezaji watatu wapya....
Wale madogo Gnabry, Akpom na Ensfield pamoja na Ryo Miyaichi watatufaa kwenye FA na Capital One tournents
Wenger kasema wiki 6 wakati OX mwenyewe kasema miezi 3
Hapa tunahitaji creative players. Tumekosa mtu wa kumconect Giroud. Carzola na Wilsher bado kabisa!
Nyie mnaumiza kichwa pulofesa Chenga anakula bata na vimwana....
Nani anakufa kesho,Ramsey kafunga goli
Nani anakufa kesho,Ramsey kafunga goli