Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Wewe naeeee,kama mbaya wasiseme! Peleka huko na wenger wako.Tuachieni Arsenal yetu.....watu mna timu zenu..why kila dakika mpo kwenye hii thread mkimfundisha babu kazi?
Majority ya fans wa Arsenal Tz wameanza kuishabikia Arsenal baada ya Wenger kutua..why now mnamuona hafai? Naamini hamna anayelazimishwa kuishabikia timu yoyote...kuna timu kibao uingereza, ni muda wako wa kutuacha na Arsenal yetu!
Bila Wenger sijui Arsenal itakuwa ya namna gani! Bado namwamini Arsene!
Masikini kakitambi kangu ndo kaliaza kumea ss kwaheli,aahh
Majority ya fans wa Arsenal Tz wameanza kuishabikia Arsenal baada ya Wenger kutua..why now mnamuona hafai?
kuna mtu yoyote anayetaka kupunguza uzito? ajiunge na Arsenal utakonda bila ya kufanya mazoezi presha ndio itakuwa tatizo kwako
Kwa hiyo hukuwa shabiki wa Arsenal ya George Graham.Tuachieni Arsenal yetu.....watu mna timu zenu..why kila dakika mpo kwenye hii thread mkimfundisha babu kazi?
Majority ya fans wa Arsenal Tz wameanza kuishabikia Arsenal baada ya Wenger kutua..why now mnamuona hafai? Naamini hamna anayelazimishwa kuishabikia timu yoyote...kuna timu kibao uingereza, ni muda wako wa kutuacha na Arsenal yetu!
Bila Wenger sijui Arsenal itakuwa ya namna gani! Bado namwamini Arsene!
kama kunamtu ambae simpendi ni huyu babu snauwezo tu inatakiwa aondolewe aende akafanye kazi yake ya uchumi aache ukocha.waingereza wavumilivu sna mpka wamepitiliza.hapa ndyo pakufahamu aliyekuwa anajua mpira aliondolewa kwa majungu ambayd ni Devdi dein tangu alipostaafu na makombe ndyo bac arsnal. viongozi waliopo ni kma wapo kimaslai zaidi wanaishusha timu katika viwango kwa kasi miaka michche totnham htakuwa ju ya arsnal kama mwendo ndyo huu.leo tunashndwa hata na napol na vitimu vingine vya ujerumamani ambavyo vinajitahdi visishuke daraja vinatushinda kwenye soko uchumi mwingine syoWell said bro, aint Gunners fan but as an ardent EPl fan i feel tumbling of Arsenal means tumbling of EPL as well....kuna mtu pale kati inabid awajibishwe tu alongside the road..
Wenger is a demon, kapewa pesa asajili kaishia kupiga nayo picha. This guy keeps doing same things in the same way expecting a different result. This is insanity so to speak!
An Arab consortium is considering making a bid for Arsenal in the near future, according to reports in the Sun on Sunday and Sunday Telegraph, although Stan Kroenke is thought to be unwilling to sell.
Read more at http://www.espn.co.uk/football/sport/story/195702.html#TP6idJ0Pb8ztdBAJ.99
Wakuu, Gunners tunatisha msione wanoko maneno kama kasuku, wanafahamu nini kitawapata ndio sababu wanawewesekaweweseka kwenye jukwaa letu. Wacha wapige ukelele sisi tutafanya kazi ambayo ipo mbele yetu, ngoja kwanza tuangalie mambo ya CL then turejee kwenye kinyang'anyiro cha EPL. Prof hana wasi wasi na spirit ya wachezaji alionao. EPL ni marathon sio sprinting. COYG.
BTW Wivu unawasumbua wanoko hawaishi kuja kutafuta chakula Gunners.