Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Amebaki Fabregas kuvunjwa mguu, muda si mrefu mtaanza kulia
😕🙁😡🙁 Belo hii sikutegemea kutoka kwa mtu kama wewe! yaani upinzani mbali mimi kama mpenzi wa mpira sipendi kumuombea mchezaji yoyote hata kama ni wa timu pinzani avunjike mguu! No no no that's too low mate, futa kauli yako.
 
mimi namuonea huruma sana sendorous kwani siwezi kusahau mchango wake kwenye champions league mpaka tulifika fainali.na ni beki mzuri tu japo ana ma blunder yake ya hapa na pale.

kitu kinachonishangaza ni treatment anayopata kutoka kwa Wenger sijawahi kuona na nina wasi wasi mkubwa sana atakuwa kamuuzi kitu Wenger.Kuna uchafu aliongea alipopelekwa loan ac milan sasa sijui huo ndio umemuuzi proffesor au vipi.

i wish him all the best .
 
mimi namuonea huruma sana sendorous kwani siwezi kusahau mchango wake kwenye champions league mpaka tulifika fainali.na ni beki mzuri tu japo ana ma blunder yake ya hapa na pale.

Mimi nakumbuka alivyokuwa anazungushwa na Drogba!
 
Mimi nakumbuka alivyokuwa anazungushwa na Drogba!

Aaaah bana.....mbona unasahau mara kwa mara....sema ulitaka utwambie unakumbuka Drogba, Anelka walivyowekwa chini ya ulinzi mkali pale Villa Park.......!ha!ha!haaaaa!
 
Namaanisha mchezaji wenu muhimu sana kwa sasa ni Fabregas kwa fomesheni yenu ya sasa kama ataumia kwa sasa itakuwa ni pigo kubwa sana,sijamuombea avunjike mguu
 
Amebaki Fabregas kuvunjwa mguu, muda si mrefu mtaanza kulia

Hata kama Kiswahili ni kigumu Belo,kauli yako hii inaonesha kwamba unapenda kuona Cesc kavunjika mguu ili tuanze kulialia kama unavyodai
 
Team news:
Line-up:
----------------------------------------- Almunia--------------------------------------------
Sagna----------------- Gallas---------------------Vermaelen ----------------------Traore
-------------------------------------- Song---------------------------------------------
-------------------------- Fabregas ----------------------------- Ramsey
---------- Rosicky------------------------------------------------------------------Nasri
---------------------------------------Eduardo-----------------------------------------------

Subs: Mannone, Silvestre, Eboue, Denilson, Walcott, Arshavin, Vela.
Naona Traore,Ramsey na Rosicky wanaanza nilitegemea Silverstre,Eboue na Denilson, anyway Benchi yetu iko makini. Arshavin, Walcott, Denilson........3 nil to Arsenal.
 
tumejaza midfield kibao wanacheza style moja kati.eduardo one 2 yake na song alitakiwa kufunga nashangaa sijui vipi siku hizi.
 
kama wenger anataka ushindi inabidi afaanye mabadiriko mapema sana la sivyo tuna weza kulala hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…