Professor juzi kawafunga man city woote mkamsupport na kusema timu hiyo inatosha hata kutwaa ubingwa. Leo timu imekuwa exposed kelele kila kona.
Tatizo la Arsenal for the time being ni kuridhika kupata nafasi ya 3 au ya 4 kilamwaka badala ya kuwania ubingwa
Wenger is a demon, kapewa pesa asajili kaishia kupiga nayo picha. This guy keeps doing same things in the same way expecting a different result. This is insanity so to speak!
Nilishangaa Carzola amecheza chini ya kiwango na amefanya mistake zilizosababisha mabao 2 kati ya matatu, kumbe ndio karudi safari refu kwanini AW asimtumie Frimpong baada ya kutoka Chamberlain?