Ahsante mkuu! Nini maoni yako kuhusu RVP kwenda tibiwa kwa sangoma wa Serbia kwa kutumia placental fluid massage? Desperation or stupidity?!
tiba na uchawi vitu viwili tofauti mkuu,hakuna mtu asiyetaka kupona haraka kama tiba hipo sasa neno desperation or stupidity yanatokea wapi?.sema ndio hivyo international break watu huwa wanaongea porojo nyingi kwa vile wako bored sio wachezaji wala washabiki.kwahio tusubirini weekend mechi za ligi zirudi na watu tutaanza tena kudiscuss vitu vya maana zaidi.Ahsante mkuu! Nini maoni yako kuhusu RVP kwenda tibiwa kwa sangoma wa Serbia kwa kutumia placental fluid massage? Desperation or stupidity?!
Hii sasa kali duh! mbona wachezaji wetu wanaumia kirahisi mno? ipo haja ya kuangalia tena training methods ya timu yetu.ARSENE WENGER was given another injury scare last night after Kieran Gibbs was taken for X-rays on an ankle injury.
The Arsenal starlet went off in the 20th minute of England's draw and was sent to hospital on crutches.
Gibbs, 20, did fly home with the rest of Stuart Pearce's Under-21 squad.
But Gunners boss Wenger, still reeling from Robin van Persie's ankle injury, will be sweating on Gibbs - who has replaced the crocked Gael Clichy at left-back.
He will now be doubtful for Saturday's trip to Sunderland.
Pearce confirmed: "Kieran went in for a challenge with one of their players and went for X-rays." Boss Psycho should have been fuming with his young guns after they wasted a hatful of chances.
The result means the Three Lions will have to win their last three games to ensure a place in the play-offs for the Euro 2011 finals in Denmark.
But England legend Pearce, 47, refused to put the boot into his misfiring side.
He said: "Lithuania are a stout defensive unit and are tough to break down.
"But we failed to take our chances. It's disappointing but we still have it all to play for.
"We have to win all three games but we have the capability to do that.
"It's difficult to qualify for these tournaments. Dropping points puts you under pressure but it's a fantastic learning curve for our boys.
"I'd like us to show a little more composure and be a bit more clinical but we'll learn."
Newcastle striker Andy Carroll went close three times in the first half before hitting the bar after the break.
England keeper Scott Loach was barely tested as the centre-back duo of Chris Smalling and Micah Richards held firm.
This was little Lithuania's chance to mix it with a host of Premier League stars, yet the clash did not capture the imagination of the locals.
Just 38 tickets had been sold on the morning of the match, although that number swelled to at least 300 by kick-off.
And those who braved the cold and driving rain saw England dominate without providing the killer touch.
Carroll headed wide on 10 minutes and went close with another header and neat shot.
Then, three minutes after the restart, he fired against the bar with just keeper Vytautas Cerniauskas to beat.
And, despite late pressure, the Lithuanians held firm.
Their boss, Vitalijus Stankevicius, said: "This was like a win for us."
For Pearce, though, it was two points dropped.
Read more: http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...ia-U-21s-0-England-U-21s-0.html#ixzz0XDIp3AMI
international break noma sana.labda wajakomaa bado lool.any way sylvester atapewa namba kule kushoto mpaka gibbs au clichy akirudi.Hii sasa kali duh! mbona wachezaji wetu wanaumia kirahisi mno? ipo haja ya kuangalia tena training methods ya timu yetu.
international break noma sana.labda wajakomaa bado lool.any way sylvester atapewa namba kule kushoto mpaka gibbs au clichy akirudi.
Armand Traore
November 9
Armand Traore has returned to training but was not available for the Wolves game. "It seems a bit short for Armand," said Wenger ahead of the game.
armand traore ana injury nadhani....apart na Silvestre, (kukamilisha French speaking defence) pia kuna Armand Traore...
.
Tuko pamoja kwenye kikosi, ila nadhani Denilson ataanza badala ya Arshavin atakuwa amechoka.armand traore ana injury nadhani.
kikosi cha jumamosi kitakuwa hivi
almunia,sagna,gallas,varmelen,sylvester,eboue,nasri,song,fabregas,arshavin,eduardo.
kuhusu formation nadhani ana option mbili 4 3 3 or 4 4 2 kwa kutumia hao wachezaji.
nimemueka eboue kwa vile njury ya diaby haijulikani hiko vipi kama ataweza kucheza jumamosi.sidhani kama atatumia 4 5 1 kwa sunderland lakini ataitumia kwa chelsea. sijui wenzangu mnaonaje manake injury zimetutawala kidogo.
swala arshavin kupumzishwa nilifikiria sana lakini kutokana na majeruhi ya van persie ni vigumu sana kumueka nje labda aanze na tukiwa tumepata magoli ya kutosha wamtoe dakika ya 60.sagna na gallas pia nahisi sagna anaweza kupumzika eboue akaanza pale.Tuko pamoja kwenye kikosi, ila nadhani Denilson ataanza badala ya Arshavin atakuwa amechoka.
Wasiwasi wangu Gallas na Sagna baada ya kucheza dakika 120 jana nao watakuwa wamechoka, pengine kama tutashinda bao 2 mapema Gallas na Sagna watapumzishwa kujiandaa na Chelsea, Gibbs atarudi mechi ya Ulaya dhidi ya Standard Liege Jumanne, listi ya kwangu (4-3-3)ni:
-------------------------Almunia----------------------
Sagna--------Gallas------Vermaelen--------Silvertre
--------------------------Song------------------------
-------------Fabregas--------------------Denilson---------
Eboué------------------------------------------Nasri
-------------------------Eduardo----------------------
Subs:
Mannone
Arshavin
Senderos
Rosicky
Ramsey
Traore
Hata mimi mkuu nilihisi Eboue ataanza na sio Sagna ila nafikiri tutaanza na strong eleven ili tumalize biashara mapema na kuwapumzisha Sagna na Gallas na kuingia Vela na Traore, Eboue atarudi beki, Vela atacheza kulia. Silivestre atarudi central back na Traore atacheza left-back.swala arshavin kupumzishwa nilifikiria sana lakini kutokana na majeruhi ya van persie ni vigumu sana kumueka nje labda aanze na tukiwa tumepata magoli ya kutosha wamtoe dakika ya 60.sagna na gallas pia nahisi sagna anaweza kupumzika eboue akaanza pale.
hi mechi mkuu ni ngumu sana na tukifanya masiala kidogo tunaweza kulala.sunderland wazuri sana msimu huu na wanajituma.
kweli kabisa.schedule imekaa vibaya sana hapa mkuu tukichomoka kifua mbele itakuwa safi sana.Hata mimi mkuu nilihisi Eboue ataanza na sio Sagna ila nafikiri tutaanza na strong eleven ili tumalize biashara mapema na kuwapumzisha Sagna na Gallas na kuingia Vela na Traore, Eboue atarudi beki, Vela atacheza kulia. Silivestre atarudi central back na Traore atacheza left-back.
Amebaki Fabregas kuvunjwa mguu, muda si mrefu mtaanza kuliakweli kabisa.schedule imekaa vibaya sana hapa mkuu tukichomoka kifua mbele itakuwa safi sana.
Amebaki Fabregas kuvunjwa mguu, muda si mrefu mtaanza kulia
Wazee pema hapa nimepita tu kuwasalimia nitakuja rasmi 29..
Amebaki Fabregas kuvunjwa mguu, muda si mrefu mtaanza kulia