bora babu atasajili sasa
huyu babu anatakiwa awe kocha tu mipango ya kununua hakumfai mgumu sana kutoa pesa iwe kama madrid ananunua raisi wa timu.tangu alipostafu yule mtendaji ambae ndyo aliye wanunua akina tony adam.pires.vieara.denis bergkamp na wengineo ndy arsnal ilipokwamia hapo imebakia maneno hela ipo. Toa sajili baciatasajili wapi huyu mzee wakati ameshasema "we can challenge a trophy without or with a new signing" na asilimia kubwa zipo upande wa "Without". Ndio maana nasema huyo mzee bora aondoke tu.
Ngoja Wacha 1 akusikie.
huyu babu anatakiwa awe kocha tu mipango ya kununua hakumfai mgumu sana kutoa pesa iwe kama madrid ananunua raisi wa timu.tangu alipostafu yule mtendaji ambae ndyo aliye wanunua akina tony adam.pires.vieara.denis bergkamp na wengineo ndy arsnal ilipokwamia hapo imebakia maneno hela ipo. Toa sajili baci
Hebu ngoja kidogo mkuu...hapo ni kweli Gazidis alisema uongo ila kwa akili ya kawaida huwezi kwenda kushindania Premier league bila makipa 3 wazuri na sasa tunao wawili ambao ni competitive...I guess watarudi kwa julio Cesar maana hana timu unayomuitaji sasa na Agent wake alishasema "Arsenal is only remained option" shida ni kuwa ameambiwa apunguze personal demands zake na QPR hawana uwezo wa kuendelee na wachezaji wa aina ya Cesar maana wana mishahara mikubwa na jamaa mwakani World cup anataka awe kikosi cha kwanza BRAZIL na huwezi kuwa kipa no moja Brazil ukipambana na Milwall,doncaster utd,Preston, Leeds etc kila wiki
Ishu nyingine Tumeondoa under-performers wengi sana ku free up wage bill naamini tutafanya Quick deals kwa wachezaji watatu...akiwemo beki wa kati maana Djoruo japo ni mchezaji wetu ndio keshaenda humburg kwa mkop na Squillaci hayupo tena...we need a defender for pairing Thomas vermaelen na atakuja...let's be patient wenger ananunua wachezaji kwa style ya aina yake mwenyewe
kuna jambo flani wengi tunalisahau hapa tulicheza mechi 10 baada ya feb 2013 baada 2-1 defeat pale white Harte lane katika kiwango cha juu sana na tuliona timu ili gain momentum ya kutosha kwa mechi zile tulidraw na man utd na Everton..hapa naongelea kama Wenger aki capitalise kwenye stability ya mwisho wa msimu na akaongeza few players tutafanya vizuri
Mi mtazamo wangu though fans tuko frustrated na delays za transfer kuna balaa flani kwenye Soko siku hizi wachezaji wanauzwa kwa bei ambayo ni INFLATED hata x2 hadi x3 na Wenger ni mtu anaependa ku bargain na kununua at "right value" sasa soko likielekea mwishoni kuna uwezekano mkubwa kukawa na ''SUPRIZE" buy kwani hata issue ya Suarez naiona kama ni smoke screen
kuna wachezaji Arsenal wamenunuliwa past two seasons mwishoni mwa dilisha Mfano.Santi mwaka jana alinunuliwa August 5 na Giloud August vilevile na akina Per,Arteta,Babtista,Arshavin na wengine walinunuliwa last day sasa tusubiri hiyo siku ikishapita tutajua kama kweli ni mbivu au Mbichi
Mi naamini atanunua na wengi sana hapa kundini "haters" wanafurahia sana wenger asinunue tuendelee kusuasua ila i believe timu nzuri inajengwa kuanzia kwenye stability ya kikosi "tushukuru hatujavurugiwa kikosi" this time arround
atasajili wapi huyu mzee wakati ameshasema "we can challenge a trophy without or with a new signing" na asilimia kubwa zipo upande wa "Without". Ndio maana nasema huyo mzee bora aondoke tu.
Ngoja Wacha 1 akusikie.
mkuu kwenye ukweli lazima tuseme huyu mzee wetu anatuletea matizo na sidhani kama atasajili nakumbuka kuna msimu msimu mmoaja aliwahi kurudisha pesa "eti" kikosi kizuri halafu kikos chenyewe ndo cha akina silivestre Djorou na wengneo.
Mkuu huyu mzee me naona bora akatumikie proffesional yake ya uchumi.
According to La Gazzetta dello Sport, Fiorentina have reached an agreement with QPR for the goalkeeper Julio Cesar , however, the Serie A club want the Brazilian to take a 50 per cent pay cut.
Babu mbishi sana kama...............ya asubuhi...................
FULL TIME ARSENAL 1 GALATASRAY 2
Drogba kawanyamazisha washabiki wa Arsenal
Nawe bado huja wacha kuweweseka! Mmebadili makocha kumi wakati Prof yupo pale pale Wacha Wivu wa kike! Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Huna hoja wewe Prof analipwa £8 million kwa mwaka unafikiri kwa mbinu zipi unapomponda?
Nawe bado huja wacha kuweweseka! Mmebadili makocha kumi wakati Prof yupo pale pale Wacha Wivu wa kike! Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Weka ukweli weye chacha uone kama kuna atakaye ku-support. Wenger anafanya kazi nzuri ni pimbi tu ambao wanafikiria ukiwa na mpunga ni lazima utumie, prof kasema atanunua quality sio quantity .... ... ndio sababu ameondoa mizoga iliyokuwa inakula pesa kila wiki bila kujituma.
Wrong! Jaribu option ingine. The Board, Club and members support AW LeProf, nyie msio m-support ni minority, tena inakubalika, mnapiga ukelele we lakini wapi. Programme aliyoanzisha pale Emirates ndio copy kwa kila club hivi chacha -Wacha neni na majungu ya wapinzani wasiotaka mafanikio.
Kama wamekubaliana inatuhusu nini chichi Gunners - worry about Mashoga Bro!
Mkuu huwezi kulipwa £8 million ukawa unadunda bila ku-deliver. Prof amekaa Gunners miaka mingapi? Wacha ngebe! Tumeondoa wale kina Judas iskariot tumebaki na vijana wanaotegemewa kuleta matunda. Hawa hawa wachezaji mnaowaponda mbona wanakodolewa macho na wapinzani? Msione vinaelea vimeundwa.
listi ya kesho vipi?
huyo Adebayor sijamkubali au unasemaje?
duh ushabiki sio kwa ARSENAL tu bali hata kwa ARSENE......kazi kwelikweli ur totally blinded...
Huwezi kujibu hoja bali kupaparikapaparika tu kama kuku. Nafahamu media ya UK imejaa fitna kwa sababu prof. anakomba mshiko wa maana kutokana na kazi anayofanya chacha weye unaweweseka na kupaparika imekula kwako. Hivi ni kocha gani raia wa Uingereza mwenye mafankio hata asilimia 10 tu ya prof.?
Mlikuwa mnachema hawezi kununua mchezaji kwa £40 millioni yeye kaweka hizo na paundi moja juu yake mnaanza kuweweseka Wacha neni na fitna Gunners hawafugi mashoga kama Manure. Au kale katimu kwenye cow shed kanakodekeza wauza unga na wezi.
Goal-line technology finally here as revolutionary Hawk-Eye system unveiled for new Premier League season ..... ..... ..... The system was unveiled at Arsenal's Emirates Stadium this morning and FA general secretary Alex Horne said: 'This is one of the biggest changes that has happened in the 150 years since we conceived the laws of the game and it is fitting that it is happening in out 150th anniversary year.