Wakuu swala la kununua wachezaji sio rahisi kama baadhi ya members wanavyofikiri siku hizi soka ni umafia tu, tutapata wachezaji muhimu kabla ya dirisha kufungwa, tayari tuna wachezaji nyota ambao mwaka jana hawakuwika mfano Jack Wilshere, na kijana hatari wa miaka 16 ambaye ameonyesha umahiri wake katika kabumbu alipokuwa kule far east ..... ..... ..... mategemeo ya sure Boy, golikipa na mchezaji moja wa nyuma. Usajili ni siri hata hii ya Sure Boy ni Loser fools ndio walimwaga mtama lakini angetua kwa kushtukiza vile vile Wine Romney anaweza kutua Emirates bado muda upo. COYG .... ....
Spot on mate...............It seems arsene is not really serious when it comes to signing.He has always been very bogus ending up signing just too blunt players.we have already lost a couple of players this window and not done any crucial signing so far.we have lost higuin,bernard is heading to donesky,there is a stiff competition for sure boy whereas £55m is needed,it is a dream to have rooney...the only thing here is that wenger will go for cheap players as usual and end up losing the battles..
......duhh, hebu mtuache. Wenyewe tumeridhika na hiyo 4th spot na gaffer wetu!
" alalaye usimuamshe, ukimuamsha.....!" Ohooo
mbona huendi kule kwenye jukwaa lenu, kila asubuhi unaamkia hapa, kiukweli wengi wenu ni Arsenal fans ndio kwamba hamuishi kupitia hapa
jamaa nilishamshtukia huyu katimu kameibuka baada ya Abramovich kuja mwaka 2003 baada ya miaka 50 ya kusindikiza washindi na anajifanya eti alikulia stamford bridge kumbe GLORY HUNTER MAARUFU..mi simshangai mihemko yake hapa jukwaani wakati jukwaa la maglory hunter wenzie hakai kule na mkuu huyu jamaa mechi yao ikiwa yacheza haonekanagi jukwaani na wakifungwa ndio kabisaa anakimbilia jukwaa la mapishi asikuumize kichwa..leo hii mrusi anaiachia timu atalia kama mtoto huyu "msakatonge" maskini yake huyu
YOU ARE JUST A HATER ANYWAY ulitele comment za kujinafkisha
......kabisa bro, kuna wanaonunua wachezaji ili;
1. Kuimarisha team - Arsenal included...
2. Kuziba mapengo -
3. Kuua upinzani - Mourinho wa Chelski...
4. Almuradi wamenunua! - Man City na Spurs
Wengi tunapenda kuja hapa kwenye jukwaa lenu kwa sababu asilimia kubwa ya washabiki wa Arsenal ni deluded, wanachonga sana na wanongea pumba bila facts, hivyo tunakuja kuwarekebisha kidogo. Kama hizo pumba ulizoweka wewe hapo.
makosa madogomadogo sio tatizo kila mtu hata wewe unajuwa hii timu kubwa
Katika timu iliyojenga uwanja na kushiriki europe kila mwaka na haikutetereka kihivyo basi Arsenal, kweli hatuna silverware katika kipindi chote, kabla ya kuja chama hii nilipenda Mancity lakini tokea kuja waarabu wameharibu mpira na wengi hatujui kuwa mpira umeharibika, timu zinanunua ushindi sio kucheza kwa kiwango
Wewe unajuwa hii chama kubwa kwa stability
Emirates inaandaliwa kwa ajilki ya mitanange ya weekend - The Emirates cup!
Tinatisha .... ... COYG.
Pitch perfect: The playing surface
is looking in good shape...
BTW Nachikia peas of ants tayari wivu umewajaa maana cow shed tayari imejaa cow dungs ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ooops! Unawezaje kubadilisha timu unayoshabiki? Kuna mwenzio hapo juu kaongea kuhusu glory hunters, nafikiri wewe ni mfano hai hapa. Na mko wengi sana humu baada ya 2003-04 Invincible.
Kweli kabisa mkuu. Squillaci, Park, Chamakh, Santos, .....etc waliimarisha sana Arsenal.
Hahahaha