Hebu someni hapa comment za Mzee wetu, mi nachoka. Luis Suarez transfer: Arsenal play Luis Suarez waiting game as Wenger set to wait for his man - Mirror Online
The highlight of that article being, "We still have a strong squad but we are there on the market to try to strengthen our team. With or without additions we can be title challengers next season."
With or WITHOUT additions? Do you guys agree?

Tulishasema Arsenal hata ikiwa na hela ni vigumu sana Wenger kubadilisha philosophy yake.Na jinsi Giroud anavyofunga huko Asia sidhani kama atasajili mshambuliaji
Nawe ulikuwa manager lini? Wacha ngebe! Mtazamo wake peleka kwa mashoga wenu kule Old Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hapo kwenye red inadhihirisha ni jinsi washabiki wanavyoweza kuchezewa akili kirahis na kumeza kila kitu wanachosema Gazidis na Wenger. Ili mchezaji ahame ni lazima kuwe na makubaliano kati ya mchezaji na timu zote mbili, na pia makubaliano kati ya timu mbili. Kila mu anakumbuka kwa raisi wa Real Madrid alisema wazi kwamba hakuna bid yoyote kutoka Arsenal, na wala Arsenala hawakanusha tamko hilo. Kukubaliana na baba yake Higuain ambaye pia ndo wakala wake hakumpi uhalali wowote wa kuhama mpaka Real Madrid wahusishwe. Sasa kama kulikuwa hakuna makubaliano na Madrid ilikuwaje mkaanza kusema Higuain yuko London kwa uchunguzi wa afya? Delusion ni ugonjwa hatari sana. Mmeshapigwa changa la macho, mwisho wa dirisha la usajili mtaambiwa "si mmeona wenyewe tullibid kwa Higuain na Suarez lakini tukazidwa dau na timu nyingine".
Mkuu, sijawahi kujibu hoja yako yoyote ile lakini hii naona unaenda "personal" na sio haki.
Jaribu kuzungumza kuhusu football na sio matusi.
Matusi hayaleti tija.
Mkuu hao jamaa dawa yao ni kuwapiuza tu..Hauna haja ya kujibizana nao...
Mi huwa nashindwa kuwaelewa Peasant na wenzake....Timu zao zina thread hawachangii lakini kutwa kucha wako hapa kutoa maneno ya dhihaka na wakati mwingine 'matusi' dhidi ya mashabiki wa Arsenal......Kuna wengine humu naona siku zao haziendi bila kutoa dhihaka dhidi ya Arsenal na mashabiki wake.....Inasikitisha na kukera sana....
Ustaarabu hakuna kabisa....Watuache mashabiki wa Arsenal na si kutusakama kipuuzi maana kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayotaka...
Why Always Arsenal?.....

Jamani wakuu,hadi sasa sijamuelewa Wenger manake kapewa pesa mezani tena yakutosha, hadi leo sijaona usajili. Au anasubiri tupigwe mechi tano za mwanzo ndo asajili? Huyu mzee siyo siri ataniua kwa presha!!!!!

The blood is the red of north London - Getting ready for new season. Tupo pamoja wakuu wangu wote.