Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona umepitiwa kidogo Wenger hawezi kununua mchezaji wa paundi milioni 150

alikusudia mshahara wa wiki na ni paundi 150,000 kama inavyoripotiwa na BBC

jana katoa pasi ya goli kwa Aspas huko australia ila hakwenda kushangilia na wenzake..."body language" inaonesha anataka kusepa tatizo kuna uwezekano real Madrid waka hijack deal na liverpool wanaomba RM waje kuliko kumuuza palepale EPL
 

Usajili wa siku hizi ni vurugu na Mourinho kasema hakuna uzalendo kwenye football siku hizi.Kwa mtazamo wangu Higuan angewafaa sana kuliko Suarez kwa nini nasema
1.Kutokana image aliyojingea Suarez akihamia timu ya England ataendelea kuandamwa na media na mashabiki hasa wa Liverpool
2.Gonzalo ni pure striker tofauti na Suarez ambaye anatokea pembeni na wapo Walcot na Poldi wanaoweza cheza hiyo nafasi
3.Gonzalo ni mmaliziaji mzuri angalia hata statistics zake pale Rm,amekuwa affected na ujio wa CR 7
4.Suarez ni bei ghali now ni 40 ml paundi while Higuain angeweza patikana kwa 30.

Baada ya kumuuza Gonzalo RM wana hela ya kumnunua Suarez hata Liverpool wakitaka 50 Perez akimtaka lazima atatoa.Kwa mtazamo wangu Arsenal inabidi wasajili beki wa kati ,mabeki 2 ni majeruhi huko mbele hakuna tatizo sana
 

beki wa kati na kipa lazima watakuja tu...its matter of patience
 
Both duo Gonzalo and Reina passed their medicals at Napoli and will be presented to fans on Monday.......
 
beki wa kati na kipa lazima watakuja tu...its matter of patience

Beki ndo ugonjwa mkubwa Arsenal yani ikikutana na timu pinzani ikifika tu goli mara mbili ya tatu probability ya kupata goli inakuwa kubwa, Forward si tatizo kubwa sana.
 

Si kweli kuwa BBC na SkySports kuwa hawaripoti tetesi, katika kipindi hichi cha Usajili si rahisi kupata habari za ndani ya Timu so habari nyingi huwa ni tetesi tu.
 
kashengo




Sure Boy anapeta kwa sababu ameshacheza EPL na hana muda wa ku-gel angalia Giroud na Pod sasa ndio utaona moto wao mwaka huu baada ya kuzoea mikiki mikiki ya EPL.


BTW Usione wanoko wanashinda kwenye hii Thread wanafahamu fika muziki wa Prof. na Gunners.
 

Nawe ulikuwa manager lini? Wacha ngebe! Mtazamo wake peleka kwa mashoga wenu kule Old Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Hapo kwenye red inadhihirisha ni jinsi washabiki wanavyoweza kuchezewa akili kirahis na kumeza kila kitu wanachosema Gazidis na Wenger. Ili mchezaji ahame ni lazima kuwe na makubaliano kati ya mchezaji na timu zote mbili, na pia makubaliano kati ya timu mbili. Kila mu anakumbuka kwa raisi wa Real Madrid alisema wazi kwamba hakuna bid yoyote kutoka Arsenal, na wala Arsenala hawakanusha tamko hilo. Kukubaliana na baba yake Higuain ambaye pia ndo wakala wake hakumpi uhalali wowote wa kuhama mpaka Real Madrid wahusishwe. Sasa kama kulikuwa hakuna makubaliano na Madrid ilikuwaje mkaanza kusema Higuain yuko London kwa uchunguzi wa afya? Delusion ni ugonjwa hatari sana. Mmeshapigwa changa la macho, mwisho wa dirisha la usajili mtaambiwa "si mmeona wenyewe tullibid kwa Higuain na Suarez lakini tukazidwa dau na timu nyingine".
 



Cool down goons! Naona mnachapia sana namba nafikiri ni mchecheto wa usajili. Mara kumnunua Suarez kwa paundi milioni 150, na sasa huyu nae anataka tuamini kwamba Arsenal wamepeleka bid ya £41 mil. Ukweli ni kwamba Arsenal wamepeleka £40 mil plus £1. Nafikiri kuna tofauti kubwa sana kati ya £41,000,000 na £40,000,001, walichopeleka Arsenal ni £40,000,001.
 



Kuna uwezekano mkubwa akaishia Madrid sababu alishasema ndio dream yake,na nina wasiwasi atakuwa ana-flirt na Arsenal tu ili kuwafanya Madrid warushe bid yao pia. Kumbuka kwamba Madridi wamemuuza Higuain hivyo wanahitaji replacement yake, kuna striker gani mwenye quality ambaye yuko sokoni sasa hivi zaidi yake na pengine Rooney? Sitashangaa kusikia Madrid wakirusha bid yao ndani ya siku/wiki chache zijazo.
 



On target: Lukas Podolski (left) struck the opener for Arsenal
against the Red Diamonds









How about that? Chuba Akpom celebrates
after earning Arsenal the victory







Taken out: Yuki Abe and Theo Walcott clash during the friendly








We believe in Boss: Arsene Wenger is shown support
by these fans in Saitama












Acrobatics: Olivier Giroud (top) and Serge Gnabry (bottom)
take evasive action against the Red Diamonds





Backing: Walcott had a mixed game but these fans loved him


Mexican wave: Japanese Arsenal fans enjoy themselves
prior to the pre-season friendly match





All together now: Arsenal players show off a banner after the game




BTW Prof na vijana wanatarajiwa nyumbani siku si nyingi baada ya kukamilisha ziara iliyofana kule mashariki ya mbali ..... ..... ..

 



Will Sure boy land after an audacious £40 million bid plus one pound?



New manager? Arsenal boss Arsene Wenger wants Suarez
to spearhead his attack at the Emirates


BTW Kuna wanoko ati wanachema tinageresha! Watakiona cha ntema kuni kilichomtoa kanaga manyoya.
 
Kwakujitia uchizi wewe! unaongoza
 
Kwakujitia uchizi wewe! unaongoza

Dah! Naona mapotea njia chacha. Hii ni thread ya
Gunners au na hii mnataka kuifunga? Inawaumiza sana ehe? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tulishasema Arsenal hata ikiwa na hela ni vigumu sana Wenger kubadilisha philosophy yake.Na jinsi Giroud anavyofunga huko Asia sidhani kama atasajili mshambuliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…