Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huu ni ushahidi kwamba Gonzalo Higuain alikuwepo London leo....





Hapa akisaini kwa shabiki wa Arsenali akiwa Heathrow.....

COYG

hebu soma vizuri hio webpage.....imeandikwa...."i can comfirm i have just seen gonzalo higuan at heathrow airport.the move to tottenham is on the card...." chini kuna maandishi #THFC # transfer deadline.
 
Sasa Fellain Arsena Wa nini? Huyu Wenger naye anazeeka vibaya kwani Arsenal ina tatizo la Kiungo? Issue ni Forward na beki wa kati
 
Sasa Fellain Arsena Wa nini? Huyu Wenger naye anazeeka vibaya kwani Arsenal ina tatizo la Kiungo? Issue ni Forward na beki wa kati

Kaka umewahi kuwa manager? Hivi unajua kuwa Arteta ni DM wa kuunga unga sio natural position yake? Ili timu ipate matokeo ni lazima iwe na STRONG midfield alafu ndo department zingine zafuata...toka ameondoka Vieira mwaka 2005 Arsenal haijawahi kumpata mbadala wake pale na uliona msimu uliofuatia 2006 Arsenal walikwenda mpaka kuwa wa 4 kutoka wa 2 msimu wa nyuma yake! Kama Watamchukua FELLAINI hapo midfield itakuwa kama jiwe yani imekamilika
 

Kaka unachozungumza ni kweli lakini naona Ramsey anajitahidi sana kwenye ile position kuliko Arteta,Arteta ni mzuri sana kwenye attacking Midfielder kuliko defending midfielder shida yangu ni kuwa Wenger haweza kununua wachezaji wengi wa bei kubwa sasa badala ya kumnunua Fellain ni bora hizo hela amchukue Higuani na Rooney na Pengine Ashley Williams pale kati hali sio mbaya sana kama mbele na hapo nyuma katikati Varmelean haaminiki tena kivile kiwango chake kimeshuka sana pale kati ni bora tukaendelea kuwatumia Ramsey na Arteta hizo hela anunue forwards za ukweli,By the Way Alex Song alijitahidi sana kuziba Pengo la Viera sijui kwanini Wenger alikorofishana naye akaamua kumuuza ila Pengo la Song ni kubwa sana kuliko la Van Persie na Fabregas
 



https://www.jamiiforums.com/sports/56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-53.html#post4113885

Wakuu wa
Gunners hapo kesho itatimia ooops mwaka moja tangu hii thread hapo juu kufungwa, I mean 365 days na ushee kwa ajili ya husda ya wapinzani wetu. kuna thread mbovu nyingi tu zinapeta lakini hii kwa sababu ilikuwa inawakata maini wakaifungia chacha ngoja musimu huu ndinga ianze tuanze kuwasambaratisha ndio watakapofahamu siyo lazima habari ziwe zinapitia JF Gunners forever .... ..... ..... .....


BTW mambo yote chacha SW19, I mean Wimbles baada ya King of clay kufanya vitu vyake kule Garros chacha amerudi na anawania taji la tatu pale .. ... .. bila kumsahau bibie Williams ambaye hajaacha kuwapagawisha media darlings kwa ujumla Come on The king and Williams .... .... . .... ....
 

song was never a good DM though alitoa assist nyingi kwa RVP...Fellaini ni Versatile anaweza DM,AMD,second striker...alafu Rooney si mchezaji wa kununua ni mvuluga kambi yule bora atimkie RM ataleta Saga nyingi na utoto wake!

Rvp lilikuwa pengo ndo maana anasakwa prolific goal scorer kama yeye
 

Fellaini in bag?
 
Fellaini in bag?

he is speculated to join Arsenal although there is a spanish young DM currently playing at 3rd placed La liga team Real Sociedad called Irralamendi he is 21 year-old but very dirty in midfield, he is also linked if Fellain's deal will hit the rock as we all know the rumuors of Golalons of Lyon have cooled down...let's wait and see
 



Slip of the fingers there! Atletico Madrid finished the league at 3rd place while Real Sociedad was 4th. If he moves, it will be from fourth best in Spain to fourth best in England, kinda consistency, neither an upgrade nor downgrade.
 

Mshawasifia wengi sana laini mlipowasajili wakawa magalasa
 
Wakuu mambo vipi naona kila kona kuna browsing maana Arsenal wamefunga midomo kwa sasa.

Mpaka sasa ni wachezaji watatu ambao kama ikithibitishwa kuanzia jumatatu, basi watachezea Arsenal msimu ujao.

Wachezaji hao ni Higuain, Fellaini na Julio Cesar ukiondoa Yaya Sanogo ambae inajulikana pia atathibitishwa wiki ijayo.

Ikiwa itakuwa hivyo basi naweza the most likely line-up ya msimu ujao kwenye ligi na kwenye CL;

Szczesny au Cheza


Merts Kos

Jenkinson Gibbs

Fellaini

Jack

Theo Santi

Rooney

Higuain au Higgy

Wachezaji wa akiba :Cesar, Verms, Sagna, Monreal, The Ox, Arteta, Pods, Giroud.

Wayne Rooney nimemuweka tu kama ikilazimu maana pesa ipo.

Wakuu, this will be a proper Arsenal team.
 

Utabadilisha sana hicho kikosi kwa kusikiliza na kuamini habari za udaku na tetesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…