Nilijua tu kuna mtu atakuja na stori za ligi daraja la kwanza. Mwaka 1991, ilikuwa ni ligi daraja la kwanza. EPL ilianza 1992.
Anyway, swali langu bado lipo pale pale, ni lini Arsenal WATAPEWA a guard of honour na Man United?
Sijauliza ni lini Arsenal WALIPEWA a guard of honour na Man United.
Wachezaji wa Arsenal wote wanafanya makosa kwa kupokezana sema jana ilikuwa zamu ya Sagna.Vermalen,Gibbs,Walcot,Podolski,Ramsey,Gervinho,Giroud wameshafanya makosa mengi msimu huu lakini SAGNA ametolewa mbuzi wa kafaraTunamlaumu Sagna bure upande wake alikuwa anawakaba Luis Nani+Evra na tunajua wazi walcott si mchezaji wa kukaba...mzigo ukamhelemea...Labda tutizame upande wa Manure wao Full backs zao zilikuwa zinasaidiwa na mawinga wakabaji na wenye kasi Nani na Valencia...simple tactics
kama AW angempanga Kulia Chambelain, Walcott kati pale na kushoto Cazorla, Sagna asingekuwa Exposed hivyo kwani OX anakaba sana
Kwa kweli tunaitaji Tough tackling DM na mshambuliaji aliekamilika "Fox in the Box"
Endelea kusubiri kama mlivyosubiri kuipata toka 1991 nyumbani kwa Arsenal...alafu unachekesha eti stori za League daraja la kwanza mbona inajumlishwa vikombe 7 kufikia 20 jumla vya EPL, hapo ujue ndio ilikuwa top flight premier league wakati huo! Okey nawe lini utatangazia ubingwa pale Emirates? Kama tulivyofanya mwaka 2002 "ikiitwa ligi kuu"?? Maana baada ya jana ishakuwa historia
Naona ubishi unaendelea kama ada
Karibu. Ulipotea sana.
Lakini naamini unatambua ubingwa wa Man United.
I cant remember the last time I wanted to see Man U winning a game! Lakini leo nitawashangilia....it will be nice to see chelsea dropping points na game yao na Spurs j5 wakitoa draw itakua perfect results for gunners!!
Nilivyoiona tu line up nikajua Fergie anawapenda chelsea, no De Gea, no Rooney, no Carrick (arguably your best player this season!). Mbona last sunday alituletea mziki kamili Emirates? Sikuwashangilia na uroda mmewapa..Usitushangilie utatupa gundu la kufungwa bora ushabikie Chelsea