Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,179
- 37,475
Duh Balantanda jiandaeni kucheza ligi ya mchangani ha ha ha ha ha ha.Ngoja Mheshimiwa Ngongo akupangia top 4 itakuwa hivi 1.Mashetani wekundu 2.Timu ya waarabu 3.Spurs 4 The Bluessss 5. Timu inayoongoza kwa ubahili duniani .....Sasa kama unasubiri The Bluee waangukie pua ili upate nafasi ni bora ujiandae kisaikolojia kucheza chandimu mwakaniiiiiiiiii ha ha ha ha mwenzako Wacha1 ameshakubali matokeo nashanga wewe bado unaotan ndoto za mchana.
Hivi tukishinda leo na Ze Bluzi wakishindwa tunapanda nafasi ya nne?