Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ilikua nje ya penalty box..... but at least its on our favour....
 
BIG win....BIG up to all Goonerz.... Haters + GOONERS nawatakia usiku mwema na furaha njema......Enjoy Responsibly
 
wameshapatikana, Galatasary ya Uturuki,,,,
Mna wachezaji wengi sana hawauziki,karibia misimu miwili wako sokoni lakini hawajapata timu
Andrey Arshavin,Nicolas Bertnder,Andre Santos,Park,Carlos Vella,Emanuel Frimpong,Rio Miyaichi,Johan Djorou,Denilson,Maruane Chamakh na Sebastian Sqillaci
 
Happy Easter Londoners....In Arsenal you trust..in wenger u will rust.COYG!
 
Mna wachezaji wengi sana hawauziki,karibia misimu miwili wako sokoni lakini hawajapata timuAndrey Arshavin,Nicolas Bertnder,Andre Santos,Park,Carlos Vella,Emanuel Frimpong,Rio Miyaichi,Johan Djorou,Denilson,Maruane Chamakh na Sebastian Sqillaci
Dogo Rio miyaichi hauzwi yuko WIGAN kukuza kipaji chake, Vella kauzwa jumla Santos nae...Hawauziki simply kwa kuwa Wages zao ni Kubwa average ya £60,000 kwa wiki na ujue hakuna timu ndogo zenye uwezo wa kulipa hivyo unless kwa Loan kwani mshahara wa wiki vilabu huugawana kuulipa
 
wpid-Photo-Mar-31-2013-219-PM.jpg
 
Jack alikuwepo pale colny akifanya mazoezi tangu J3, Theo bado hajaonekana lakini kila dalili ni njema vijana watakuwepo week ijao kuona deni letu la game in hand na spuds halileti nongwa.
 
Back
Top Bottom