Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumewachezea hawa madogo sasa wametuchapa. Wenger mwehu haki ya mama. Aliwaacha Theo na Podorsky nje, sasa anawaingiza wakati wa pressure!
 
Tumewachezea hawa madogo sasa wametuchapa. Wenger mwehu haki ya mama. Aliwaacha Theo na Podorsky nje, sasa anawaingiza wakati wa pressure!
Huyu mzee sometimes nadhani huwa anatutafutia washabiki presha makusudi kabisa.
 
Arsenal is no longer a competitive team! They had chances, they misused them, now they are paying the price!
 
Back
Top Bottom