MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Nimepamiss humu, wadau mpo? Heri ya sikukuu :rockon:
Bala angalia AW asikusikie.... Anampenda sana huyo jamaa.....Gervinho ni mpuuzi kweli....Magoli gani hayo anakosa?
How about Giroud?HT but pamoja na kufunga goli moja but to me Gervinho ndo FLOP wa hii first half.....Time for OX??? Only AW knows.....
Bala angalia AW asikusikie.... Anampenda sana huyo jamaa.....
How about Giroud?
Sijawahi kuishuhudia hii haki ya mama, well, hata kama ni last 5 mins!!!
Umeshafuta kauli yako?HT but pamoja na kufunga goli moja but to me Gervinho ndo FLOP wa hii first half.....Time for OX??? Only AW knows.....
Hizo gossips ndugu haondoki Gervinho mpaka wapate mtu wa kuwarudishia pesa na faidakwel kabsa ndo mana kamweka kwnye offload list this summer