Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fabianski, Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Diaby, Walcott, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Giroud.

Subs: Szczesny, Vermaelen, Rosicky, Ramsey, Coquelin, Gervinho, Gibbs.

Vijana wapo uwanjani Ox anagonga mwamba hapa .... ..... ... ... ... COYG
 
gervinyo anacheza vizuri then anatoa pass hovyoooooooo kabisa

Huyu papara zimemzidi ... ....... ametukosesha magoli mengi sana. He isn't the quality we expected. As a footballer magoli anayokosa ni aibu.
 
Huyu Fabianski chacha ndio nini? .... ..... ... kaa golini bana ... .... ...

Two up .... ... safi sana.

BTW nasikia wanoko waliokuwa wanachungulia chungulia na kunyatia jukwaa hili wameamua kukimbia maana vijana wa prof wamefanya kile walichoambiwa wafanye .
 
Unachosema ni kweli walikuwapo wengi hapa wanawanga lol..
 
Gervinator .... ... .... ... at last ... ..... .. naona kamfukuza peas of ant's na ntonto wa mjini ... .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee bado anaendelea kuwa mentor ed kule kwenye cowshed. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Massive three point. 50pts, 2pts below Chelsea. Cummon gooner, Keep on clocking points.
 
Unachosema ni kweli walikuwapo wengi hapa wanawanga lol..

Hongereni. Naona mbio zenu za ubingwa zinaenda vyema. Wapinzani wenu Liverpool wamekikalia; kesho mtakuwa mnawaombea njaa title contenders wengine, yaani Chelsea na Spurs.
 
Back
Top Bottom