Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wacheni Wivu mlikuja na ngebe mkifikiri tutafungwa kama mlivyotolewa nyinyi na timu zingine kumbe chichi tumewapachika magoli Bayern kama tulivyochema mwanzo chacha mnaanza kuwanga wanga tu .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

mngefunga basi na kupita, khe khe unajipa mahope..pangelalika kweli..! poyeee kwa kutolewaaaaaaa!!
 


article-2292851-18A49008000005DC-955_634x694.jpg


Seething: Wenger screams from the touchline after another decision



Leo hajapiga staili yake hii? Khe khe khe khe!!


Arsene-Wenger.jpg


He should try more harder next time, he might shit some UCL and EPL cups for the team!

Khe khe khe khe!!

 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa kazi yao ni kushiliki tu CL ili kujipatia pesa, hawako pale kushinda kombe. Hiyo miaka 16 waliyoshiliki hakuna chochote walichoshinda, the best they can show up is losers' medal.

Hawa jamaa toka waliokote lile kombe wanajiona nao mabingwa,no wonder mlilipoteza kirahisi coz mtoto wa dawa si mtoto!
 
Zile akili za Jana mgekua nazo tangu Emirata ngewaona wa maana sana, unles azawiz nyie ni mamburura tu kama sisi tu.
 
yale yale wameninahiii lakini kwa mbinde kweli...

upo mkuu? Nilikuhurumia sana jana! Wana JF wote walikuja kuona majeraha yako hivi una undugu na Julio? Maneno yako ya shombo na kejeli nusura yakutokee puani mwe!!

Forza Arsenali
 
"If your boyfriend is an ARSENAL fan, never threaten him with a HEARTBREAK,
his heart has been broken so many times and it's still working"
 
Chifu, naona umfahamu Nzi!! Kacheki kule nyumbani kwetu; daima nawakilisha!! Ninapotingwa, ndipo uwa sionekani!

Chifu, wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu jukwaani!!

Unamsema Mentor huyu huyu? Juzi tu pale zile goli 2 za OT aliingia mitini na Peasant wakw. Wamekuja kujitokeza baada ya ngoma kuwa doroo!
Nzi if u have noticed..huwa wakati game linaendelea hata ukinipigia simu sipatikani..whether tumeshinda, shindwa au draw!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom