Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

article-2292851-18A4BA0C000005DC-765_964x386.jpg

article-2292851-18A4A5DD000005DC-381_634x446.jpg

Close: Laurent Koscielny scored late in the match
to set up a tense finish

article-2292851-18A4A5D5000005DC-721_634x432.jpg

Fracas: Goalkeeper Manuel Neuer tries to hold
onto the ball to buy some time for Bayern

article-2292851-18A47C2B000005DC-311_634x422.jpg

Game on: Olivier Giroud scored early in the match
to put pressure on the German hosts

article-2292851-18A3D318000005DC-625_306x423.jpg

article-2292851-18A3D4DB000005DC-799_306x423.jpg

Overjoyed: Giroud (right) celebrates the dream start
as Aaron Ramsey (left) carries the ball back up the pitch

article-2292851-18A49330000005DC-637_634x374.jpg

Booked: Thomas Rosicky looks dejected after
a heavy tackle on Arjen Robben

article-2292851-18A40231000005DC-29_634x406.jpg

Sliding in: Javi Martinez (right) tries to nick
the ball away from Mikel Arteta

article-2292851-18A4AC47000005DC-174_634x483.jpg

Piling in: Neuer holds onto the ball to waste
a little time after Koscielny netted the second

article-2292851-18A4AA7E000005DC-392_634x416.jpg

article-2292851-18A4AD05000005DC-117_634x496.jpg

When Arjen Robben ran at the Arsenal defence,
he was held off by Carl Jenkinson,
standing in for injured right-back Bacary Sagna
.

Muhimu hapa ni kuwa kujaribu kuendelea kuwa consistent kwenye mechi za kwenye ligi.

Haita make sense kujituma kote huku alafu tukapoteza kwa Swansea.

Pole mtani wangu Oxlade-Chamberlain, nilimwona wajina wako pale dimbani..till next time, bye bye UCL. Questt acha kujipa moyo, mmetoka.. BAK mbona umepotea? pole jirani!!
 
Last edited by a moderator:
article-2292851-18A489B0000005DC-778_634x414.jpg

Remonstrating: Arsene Wenge rages at the fourth official

article-2292851-18A49008000005DC-955_634x694.jpg

Seething: Wenger screams from the touchline after another decision

Wacheni Wivu mlikuja na ngebe mkifikiri tutafungwa kama mlivyotolewa nyinyi na timu zingine kumbe chichi tumewapachika magoli Bayern kama tulivyochema mwanzo chacha mnaanza kuwanga wanga tu .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Haya mrudi mpiganie nafasi ya 4

Hawa jamaa kazi yao ni kushiliki tu CL ili kujipatia pesa, hawako pale kushinda kombe. Hiyo miaka 16 waliyoshiliki hakuna chochote walichoshinda, the best they can show up is losers' medal.
 
Wacheni Wivu mlikuja na ngebe mkifikiri tutafungwa kama mlivyotolewa nyinyi na timu zingine kumbe chichi tumewapachika magoli Bayern kama tulivyochema mwanzo chacha mnaanza kuwanga wanga tu .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona leo Bayern walitoa mpunga
 
Naona leo uko kwenye copy/paste mode, keep them coming....hhahahaa..poor arses.
WANAFIKI tu nyie jirani hamna lolote....Toka lini uliona nyani wanachekana makalio?....

Ungekuwa angalau umebaki kwenye UCL ama uko nafasi ya 1 ama ya 2 EPL ungepata haki ya kuongea....

Sasa mtu ulishatolewa UCL kitambo na Europa league unachechemea....EPL uko nafasi ya 4 ambayo muda wowote unaenda nafasi ya 5 bado unakuwa na nyodo za kuongea as if uko on top of the league table na umequalify kwenda QF ya UCL......Unachekesha jirani.....

Hayo maneno mtayaongea sana na hayatuumizi maana hata kwenye Kanga yapo....but washabiki wa kweli wa Arsenal watabaki kuwa Gunners forever.....No matter what....Ndio maana kuna mashabiki wa Chelsea ambao pamoja na timu yao kutokuwa na mafanikio wao waliamua kubaki Chelsea licha ya kwamba haikuchukua ubingwa wa ligi daraja la kwanza/EPL kwa zaidi ya miaka 50......Thank God you found Roman.......Chelsea kabla ya Roman ilikaa miaka 50 haijachukua kikombe cha EPL....Leo hii Arsenal kukaa miaka 8 bila kikombe imekuwanongwa...Mbona hamuwasemi Spurs, Liverpool,Everton n.k ambao siku zote wamekuwa wasindikizaji?......Why always Arsenal?.....Obsession???......Labda

Ushabiki wa soka ni kama uchizi fulani hivi jirani.....Shabiki wa kweli (asiye glory hunter) akipenda kapenda......Ni sawa na kichaa ambaye pamoja na kwamba jalala lina uchafu,funza na kila aina ya wadudu yeye muda wote yuko jalalani tu aki
jisevia vyakula......Anapenda

So hauna haja ya kutuonea huruma wala kutucheka mashabiki wa Arsenal kwa sababu ni timu tuliyoichagua...Kama wote tungekuwa mashabiki wa Chelsea sidhani kama kungekuwa na shangwe wala raha ya mpira......Cha msingi ni kuheshimu uamuzi wa wenzenu sisi tulioamua kuwa mashabiki wa Arsenal......

WANAFIKI
 
Wacheni Wivu mlikuja na ngebe mkifikiri tutafungwa kama mlivyotolewa nyinyi na timu zingine kumbe chichi tumewapachika magoli Bayern kama tulivyochema mwanzo chacha mnaanza kuwanga wanga tu .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe kheee, ndio mwisho wa msimu hapo, inabidi utafute mchezo mwingine wa kushangilia.
 
WANAFIKI tu nyie jirani hamna lolote....Toka lini uliona nyani wanachekana makalio?....

Ungekuwa angalau umebaki kwenye UCL ama uko nafasi ya 1 ama ya 2 EPL ungepata haki ya kuongea....

Sasa mtu ulishatolewa UCL kitambo na Europa league unachechemea....EPL uko nafasi ya 4 ambayo muda wowote unaenda nafasi ya 5 bado unakuwa na nyodo za kuongea as if uko on top of the league table na umequalify kwenda QF ya UCL......Unachekesha jirani.....

Hayo maneno mtayaongea sana na hayatuumizi maana hata kwenye Kanga yapo....but washabiki wa kweli wa Arsenal watabaki kuwa Gunners forever.....No matter what....Ndio maana kuna mashabiki wa Chelsea ambao pamoja na timu yao kutokuwa na mafanikio wao waliamua kubaki Chelsea licha ya kwamba haikuchukua ubingwa wa ligi daraja la kwanza/EPL kwa zaidi ya miaka 50......Thank God you found Roman.......Chelsea kabla ya Roman ilikaa miaka 50 haijachukua kikombe cha EPL....Leo hii Arsenal kukaa miaka 8 bila kikombe imekuwanongwa...Mbona hamuwasemi Spurs, Liverpool,Everton n.k ambao siku zote wamekuwa wasindikizaji?......Why always Arsenal?.....Obsession???......Labda

Ushabiki wa soka ni kama uchizi fulani hivi jirani.....Shabiki wa kweli (asiye glory hunter) akipenda kapenda......Ni sawa na kichaa ambaye pamoja na kwamba jalala lina uchafu,funza na kila aina ya wadudu yeye muda wote yuko jalalani tu aki
jisevia vyakula......Anapenda

So hauna haja ya kutuonea huruma wala kutucheka mashabiki wa Arsenal kwa sababu ni timu tuliyoichagua...Kama wote tungekuwa mashabiki wa Chelsea sidhani kama kungekuwa na shangwe wala raha ya mpira......Cha msingi ni kuheshimu uamuzi wa wenzenu sisi tulioamua kuwa mashabiki wa Arsenal......

WANAFIKI

Pole sana jirani, najua ni jinsi gani unaumia. Lakini you're missing a point big time. Hakuna aliyekwambia kushabikia Arsenal sio sawa, wala sidhani kama umeambiwa kuhama. Kila mmoja ana chaguo lake kutokana na sababu zake, na sidhani kama ni sahihi kuhoji hilo.
Chelsea still have chances of lifting at list two trophy, hii ndio tofauti yetu na Arsenal mpaka sasa kwa msimu huu. Najua unapenda history, kwa sababu tunaongelea CL, basi nikukumbushe tu kwamba Chelsea ndio timu pekee kutoka London imewahi kuchukua kombe hili....FACT.
 
WANAFIKI tu nyie jirani hamna lolote....Toka lini uliona nyani wanachekana makalio?....

Ungekuwa angalau umebaki kwenye UCL ama uko nafasi ya 1 ama ya 2 EPL ungepata haki ya kuongea....

Sasa mtu ulishatolewa UCL kitambo na Europa league unachechemea....EPL uko nafasi ya 4 ambayo muda wowote unaenda nafasi ya 5 bado unakuwa na nyodo za kuongea as if uko on top of the league table na umequalify kwenda QF ya UCL......Unachekesha jirani.....

Hayo maneno mtayaongea sana na hayatuumizi maana hata kwenye Kanga yapo....but washabiki wa kweli wa Arsenal watabaki kuwa Gunners forever.....No matter what....Ndio maana kuna mashabiki wa Chelsea ambao pamoja na timu yao kutokuwa na mafanikio wao waliamua kubaki Chelsea licha ya kwamba haikuchukua ubingwa wa ligi daraja la kwanza/EPL kwa zaidi ya miaka 50......Thank God you found Roman.......Chelsea kabla ya Roman ilikaa miaka 50 haijachukua kikombe cha EPL....Leo hii Arsenal kukaa miaka 8 bila kikombe imekuwanongwa...Mbona hamuwasemi Spurs, Liverpool,Everton n.k ambao siku zote wamekuwa wasindikizaji?......Why always Arsenal?.....Obsession???......Labda

Ushabiki wa soka ni kama uchizi fulani hivi jirani.....Shabiki wa kweli (asiye glory hunter) akipenda kapenda......Ni sawa na kichaa ambaye pamoja na kwamba jalala lina uchafu,funza na kila aina ya wadudu yeye muda wote yuko jalalani tu aki
jisevia vyakula......Anapenda

So hauna haja ya kutuonea huruma wala kutucheka mashabiki wa Arsenal kwa sababu ni timu tuliyoichagua...Kama wote tungekuwa mashabiki wa Chelsea sidhani kama kungekuwa na shangwe wala raha ya mpira......Cha msingi ni kuheshimu uamuzi wa wenzenu sisi tulioamua kuwa mashabiki wa Arsenal......

WANAFIKI

Kunywa glasi ya maji, take a deep breath, hold it....RELAX.
 
Pole mtani wangu Oxlade-Chamberlain, nilimwona wajina wako pale dimbani..till next time, bye bye UCL. Questt acha kujipa moyo, mmetoka.. BAK mbona umepotea? pole jirani!!
Nimeshapoa mtani. Champions league huku mwisho mwisho bila timu kutoka England hainogi kabisa.

Inabidi tuamke mwakani.

Wajina naona Wenger kaamua kua kipaji chake ampeleke onloan kama vipi ,dogo anaweza kupoteza confidence.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom