Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nao ni Peasant na Nzi wao timu zao zikiwa uwanjani huja baada ya game!
Wanashangaza kweli hao jamaa....Heri ya Mentor...Yeye mwanzo mwisho yupo jukwaani kulitetea chama lake The Blues.....Hawa wengine wao wanasubiri timu zao zishinde ndo wanaonekana....Zikifungwa wanatokomea.........WANAFIKI
 
Kafuatilie kule Man United Special Thread. Labda niwe nimetingwa na majukumu; lakini daima nimo mule, iwe katika kushinda, kushindwa ama kutoa droo.

Humu nimekuja kuwapa kampani. Arsenal litakuwa chama langu kama ikipita leo.
 
Last edited by a moderator:
Unajitokeza baada ya kupata kagoli ka bahaati. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani najitokeza dakika ya tatu. Nilikuwa naweka list na chuma kinaingia weye hupendi haya bana, tizama kabumbu naona
Diaby na Ox wanaweza kuja kipindi cha pili .. ... .. ... ...
 
Wanashangaza kweli hao jamaa....Heri ya Mentor...Yeye mwanzo mwisho yupo jukwaani kulitetea chama lake The Blues.....Hawa wengine wao wanasubiri timu zao zishinde ndo wanaonekana....Zikifungwa wanatokomea.........WANAFIKI

Chifu, naona umfahamu Nzi!! Kacheki kule nyumbani kwetu; daima nawakilisha!! Ninapotingwa, ndipo uwa sionekani!

Chifu, wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu jukwaani!!

Unamsema Mentor huyu huyu? Juzi tu pale zile goli 2 za OT aliingia mitini na Peasant wakw. Wamekuja kujitokeza baada ya ngoma kuwa doroo!
 
Last edited by a moderator:
Arsenal_2914365.jpg
 
Kafuatilie kule Man United Special Thread. Labda niwe nimetingwa na majukumu; lakini daima nimo mule, iwe katika kushinda, kushindwa ama kutoa droo.

Humu nimekuja kuwapa kampani. Arsenal litakuwa chama langu kama ikipita leo.
Mkuu sisi hatutoi bahasha,tukifungwa tunafungwa kihalali na tukishinda tunashinda kihalali.
 
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani najitokeza dakika ya tatu. Nilikuwa naweka list na chuma kinaingia weye hupendi haya bana, tizama kabumbu naona
Diaby na Ox wanaweza kuja kipindi cha pili .. ... .. ... ...

Khe khe khe khe. Bahasha la Wenger halijatosha. Lazima mkikalie!!
 
Chifu, naona umfahamu Nzi!! Kacheki kule nyumbani kwetu; daima nawakilisha!! Ninapotingwa, ndipo uwa sionekani!

Chifu, wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu jukwaani!!

Unamsema Mentor huyu huyu? Juzi tu pale zile goli 2 za OT aliingia mitini na Peasant wakw. Wamekuja kujitokeza baada ya ngoma kuwa doroo!
Nkwingwa.....Labda kwa mechi za karibuni ndo umekuwepo lakini kwa siku za nyuma haukuonekana jukwaani chifu....Walioonekana ni Mtaalamu mfarisayo na mheshimiwa sana Manda...Anyways, labda ndio huko kutingwa na majukumu Nkwingwa....

Mentor ni jembe hasa la The Blues.....Iwe mvua iwe jua yeye yupo jamvini...Inawezekana juzi alighafirika kidogo.....Jirani yangu Peasant ndio usiseme, yeye anasubiri mpaka timu ishinde na kuja kuandika kwa mbwembwe KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Khe khe khe khe. Bahasha la Wenger halijatosha. Lazima mkikalie!!
Kile kijibabu chenu kimeiweka FA mfukoni kiasi kwamba kikifanya makosa wanaogopa kukuadhibu.Halafu unakuja hapa na kusema kuwa mnajua kucheza mpira.
 
Back
Top Bottom