Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwamuzi Mark Clattenburg ni mmoja wa waamuzi wazuri sana katika bara la Ulaya, akikupa kadi unakuwa unastahili hiyo kadi.
 
Wenger wenger wenger anajua anachofanya subirini muone arsenal tunashinda bana
 
podoski in arteta out....wenger nawasi wasi naye!!sub gani hizi anafanya!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…