Ungekuwa haubahatishi usingepigwa LIBOLOx 4-0 na mabingwa wa UEFA ndogo,PUMBAAAAF!
Arsenal lost to Birmingham, Barcelona, Bradford, Blackburn, Bayern
Why Always B?
Next, it's Aston Villa. They are from Birmingham, and they have Benteke and Bent in their forward line.
wacha kaingia mitini nini? :biggrin1:
Wacha 1 naomba tafsiri jamani!!!
Night of despair...
Deserved to win...
Killer blow...
Just a sniff....
Try again next time kiddo....
dogo alijitahidi lakini kasahau mchawi wake ni timu anayoichezea...
Picha zote kwa hisani ya Wacha 1, Balantanda, Richard, Vin Diesel, jmushi1, Viper, @ Saint Ivuga, Ng'wanza Madaso, Oxlade-Chamberlain, mafanikio, Questt, Rejao, bucho, Zizu, Mboko, Adoe, Ulimakafu, kashengo, e2themiza, dp cooper, Smile, MwafrikaHalisi, Fekifeki, Lhey et al...
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hii inaonyesha jinsi ambavyo vidonge ninavyowapa vinavyofanya kazi usiwe na shaka tupo half time wewe timu yako iko wapi kama sio channel 5?
Khe khe khe khe khe ke kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado mtafanya matengenezo ya forum kila mnapokula mkong'oto .. .... ..
Kheeekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umebunguliwaNashangaa kuona Haters aka Wanoko jinsi wanavyoshehereka, yesterday was something which can happen to any team hakuna hata goli moja ambalo unaweza kusema lilifungwa kwa umakini i.e. kiufundi ni kama vile Chelsick walivyonunua CL, unless umekuwa kama peas of ants ambao huwa hawaangalii mpira bali wanachubiri kuona matokeo. Wait for us in Germany where we can turn things around, we are Gunners chacha kama hufahamu soka piga ukelele wa kutegemea Sugar daddy.
COYG
Ungo ulipata pancha wakati niko kwenye anga za Iceland lakini kama unavyojua fundi mitambo kautengeneza uko sawa chacha. naona unaleta fujo sana .. ... ...Wacha ngebe ... ... mpira wetu bado ni half time whats your problem?
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Timu yetu Arsenal! Mara ya mwisho Arsenal kutwaa taji...
-Rais wa Tanzania alikuwa Mkapa
-Kim Kardashian alikuwa bikra
-Diamond alikuwa anaitwa Nassib Domo wa
Tandale
-Nick Minaj alikuwa flat kama Muhindi
-TBC ilikuwa inaitwa TVT
-Nokia 3310 ndo ilikuwa simu ya kifahari
-Mtandao wa tiGO ulikuwa ukiitwa Mobitel
-Airtel ilikuwa ikiitwa Celtel
-Mbeya ilikuwa ikiitwa Manispaa
-Noti ya tsh 10,000/= ilikuwa ya bluu
-Daz Nundaz ndo lilikuwa kundi maarufu la
Bongo fleva
-Misanya Bingi ndo alikuwa presenter mkali
Bongo
-Clouds FM ilikuwa haisikiki zaidi ya Mbezi
Luis
-Nauli Dar-Mbeya ilikuwa buku nane
-Soda ilikuwa sh 250.
-Osama alikuwa mapangoni Kandahar
-Wilshere alikuwa mwokota mipira
-Papa John Paul II ndo alikuwa kiongozi wa
Katoliki
-The bold and the beautiful ndo ilikuwa
tamthiliya kali Bongo.
-Tanzania bara ilikuwa na mikoa 20.:O
mimi Arsenal dam dam, naona Arsenal inahitaji mawazo mapya fikra mpya na kocha mpya. Wenga anakonda tu jamani.
Back to the tpoic. Mara ya mwisho Arsenal kuchukuc kikombe
----mimi nilikua second year
----Semister nzima pesa za stationary tulikua tunapewa laki na ishirini
-----boom ilikua 2,500 kwa siku
-----Hakukua na bodi ya mikopo
-----my mum was alive 🙁
-----Special school bado zilikuwepo
-----Division 4 ilikua ni kufeli
------Ukipata div zero unapata cheti cha academic
------Usharobaro ilikua hakuna sana
------wabana pua wa bongo fuleva walikua hakuna au wachache sana
------gharama za bidhaa zilikua sio kubwa kivile