Bunduki ni km Chandarua cha Hati Punguzo hivi ndy wamelowa kama masika
Wakienda Ujerumani nadhani itakuwa km sikio la kufa.
Sehemu ya kufunga wanajikanyaga kanyaga,kipindi cha pili wabadilike sana.

Ramsey atolewe na aingie Olivier Giroud ili akamiliki mipira kule mbele. Walcott aende kucheza upande wa kulia na kumsumbua Alaba ambae mpaka sasa anatamba sana.