Leo Arsenal Mashabiki wameamua wamenikumbusha Enzi za Liverpoolfc CL Mashabiki wanawapa wachezaji ni kitu sijawahi kukiona kwa Mashabiki wa Arsenal hii inaonyesha wamechoka Mashabiki ss wanataka Zawadi kwa Wachezaji wao wakikamua watashinda Arsenal. Nawatakia kila la kheri.