Walcott, Wilshere na Cazorla wangecheza kama kawaida na Wenger angewatoa na kuwaingiza wale watatu alioanza nao yaani Gervinho, Oxdale Chamberlain na Thomas Rosicky.
Hapo kwa kweli Wenger "tactically" amekosea sana na hii haikuwa ni game la kushindwa na timu ya daraja la chini.
Kinachofanyika ni kuwapa nafasi wale "haters" wa hii club nafasi ya kutapika maneno yao.