Francis Coquelin ni versatile na anachezeshwa kama utility player kwamba anaweza kucheza namba yoyote na hii ni moja ya mafunzo ya mzee Wenger kwa wachezaji wa Arsenal.
Kwenye mechi na Sunderland unafahamu kwamba Bacary Sagna alicheza kama mkoba na akaimudu vema nafasi hiyo?
Coquelin anafahamu kuusoma mchezo na ana mbinu nzuri za kukabiliana na adui.