Bila Gibbs kuumia nadhani tusingesajili. Yule Diame hata ku-bid tumeshindwa?
Hatuko serious kweli nia yetu ni namba nne.
:biggrin1: mi sielewagi mind ya wenger hua inafanyaje kazi alafu inaelekea uamuzi anafanya mwenyewe sio bodi wala washauri wake wanamsaidiaga...
alisema striker safari hii ni a must what happened? defensive midfielder? hapana...kuna uozo pale central defence kanunua center half? hapana hapana kaenda kununua left back...ONLY ARSENE KNOWS!!

Hata Santos aliposajiliwa alifagiliwa hivihivi
Team News Vs Stoke
Arsenal team: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Diaby, Arteta, Wilshere, Oxlade-Chamberlain, Walcott, Giroud
Arsenal subs: Mannone, Jenkinson, Santos, Ramsey, Rosicky, Cazorla, Podolski
Usijali mkuu, hapa utapata updates zote. Hope leo hawa Center backs hawatatuzingua. Tuombe mungu pia asiumie yeyote kati yao cuz hata bench hamna namba 4 wala 5!Naona Carzola leo kapumzishwa. Tuombe Mungu Koscienly na Mater waelewane.
Kila la kheri gooners wenzangu; mie siwezi kuona game leo nawategemea kwenye uchambuzi wa game sana sana kuhusu beki wetu mpya wa kushoto
Vipi mkuu dakika ya ngapi na matokeo ni vipi?Tunashambulia vizuri sana leo