Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Walcooott! anakutana na cross na anapaisha baada ya kupiga kwa kichwa.
 
Daniel Agga anamchezea vibaya Jack Wilshere na kusababisha mpira wa adhabu.
 
Sijui ni kwanini Wenger ameanza na Aaron Ramsey.

Ila goli hili ni kosa la Santos.
 

Kuna cancer pale Emirates nayo ni "WENGER" tumepigwa na amegoma kuimarisha kikosi
 
Top man Walcooooooooooooooooott anafunga goli la kusawazisha.
 
Walcott goal was Superb.... Didnt see t Coming......... Waaaaaaaooooooooooghhhhh
 
Dakika zimebakia 18 na inabidi Wenger amuingize Diaby.

Ramsey anapoteza sana mipira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…