Arsenal (The Gunners) | Special Thread

duu ushabiki mbaya maana hapa kuna jirani anataka kuvunja viti..
 
Miaka yote hii kibabu hakijajua nani acheze wapi na nani? Ndo tatizo la watu wanaobaki katika analojia wakati wenzao washahamia digitali.

Tushalambwa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…