Ni mapumziko, kwa kweli tulistahili tuwe hata 4-0 mpka dakika hii, Spurs hawakuonyesha ukali wowote wana-deffend too deep na counter-attack za nadra, labda kwa vile tumeshawaowa watalazimika kuja mbele sasa, natumai haitokua habari ileile ya W/ham na AZ Alkmaar!