Niliiangalia tena gemu ya Man city na Arsenal hakuna ubishi ile ni penalt lakini sio red card kwani Tevez alikuwa tayari amempita Dzeko kama ulivosema Dean kweli mnazi na alitowa red kwa City ili tu kuweka balance ya red card ya mwanzo lakini hakutoa eti ni foul ya red kwa Company
Dean anaharibu mpira sana kwa Arsenal na Wenger hakutaka kubishana half time kwani anamjua Dean