Ndet Wacha fujo hatukuwaona jana kwenye thread zenu hadi ngoma ilipoisha ... ... kumbe mpira wa Gunners kabambe naona washangiliaji wamejaa kama pishi la udaga .. ... safi sana.
Wakuu wa Gunners vijana wapo vizuri tutegemee mambo makubwa huko mbeleni ... .... ..