Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ramsey anakimbia tu uwanjaniOna anakosa goli la wazi kabisa
Ramsey anakimbia tu uwanjaniOna anakosa goli la wazi kabisa
Unaona Howard Webb anashindwa kutoa card hapo ... ... ... brown envelopes ... ... ..
BTW umewaona wanaoshabikia mashoga jana waliunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee wanakuja kuwanga hapa ... ...
Hivi kuna shabiki wa Arsenal anayempenda Ramsey??
Mimi nikiri simpendi aiseeHivi kuna shabiki wa Arsenal anayempenda Ramsey??
Huyu dogo anakera sana!Mimi nikiri simpendi aisee
Hahahahahaah...siku hizi haui tena!!watakuwepo hasa wale wanaopenda watu mashuhuri kufariki dunia..
Mimi nikiri simpendi aisee
Hivi kuna shabiki wa Arsenal anayempenda Ramsey??
Ila mdau una mdomo mchafu sana, mie sidhani kama unajua mana ya ushabiki wa soka, soccer is tactics and technics, sometimes luckness! Lazima uwe mchambuzi mzuri wa mpira, sio kutoa lugha za ajabu ajabu kama juha! Why dont u stick to ur team and appoint their weakness rather than blaming the other side with weak arguments!