Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona mmeanza kwa kasi ya jet..

Ndet Wacha fujo hatukuwaona jana kwenye thread zenu hadi ngoma ilipoisha ... ... kumbe mpira wa Gunners kabambe naona washangiliaji wamejaa kama pishi la udaga .. ... safi sana.

Wakuu wa
Gunners vijana wapo vizuri tutegemee mambo makubwa huko mbeleni ... .... ..

Naona leo Wenger kapanga kikosi cha ushindi.....Kaamua kuachana na madharau yake
 
hizi faulo hizi sijui..

Unaona Howard Webb anashindwa kutoa card hapo ... ... ... brown envelopes ... ... ..

BTW umewaona wanaoshabikia mashoga jana waliunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee wanakuja kuwanga hapa ... ...

chezea gooners blood ndio ili wanusuru..
 
Back
Top Bottom