AljuniorTz hats off to you man,
Come January African Cups of Nations...
Drogba, Kalou, Essien, Obi Mikel safarini...😀
Anyway,...
Namuonea huruma sana dogo Vito Mannone...
'Kismeti' kishaota majani, Almunia na Fabianski
wanarudi kwenye nafasi zao...!
na Man UnitedJanja ya Chelsea ni Wigan na Aston Villa.
Na janja ya Man utd ni Liverpool!!na Man United
Tumesharudishiwa mkuu, pole kwa usumbufu wa streaming,mimi naangalia live from skysports,labda jaribu just-in tv kule.a good one indeed!!
na stream yangu imepotea kabisa, any good live-stream out there?
Katika vikombe vyote vinavyoshindaniwa katika mpira wa miguu hakuna kombe gumu kama ligi kuu;timu inacheza mechi 38;wakati makombe mengine is a matter of match fitness within a month that's all Jose Mourinho alikwisha thibitisha katika hilo nani anabisha?Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league
Yaani kuwafunga kids wa Liverpool mnashangilia utadhani mmechukua Champions league