MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
hahahahaha.....sisi tumu za Ujerumani hazitusumbui!! Chamuhimu ni babu ananue quality players kwenye Jan transfer window!!
Wakuu gunners mambo vipi.
Nipo kidogo dissappointed kutokana na kwamba mechi na West Ham ambayo ingetupa mwana wapi tunasimama by Boxing Day imeahirishwa.
Hii Draw ni nzuri watu hawajui tu, Arsenal inacheza mechi yake ya kwanza nyumbani na kwa kuwa msimu huu away form ni nzuri basi tuna uhakika wa angalau safari hii kucheza tena robo fainali ingine.
Good some news.
Huenda tukawa na Demba Da kutoka Newcastle by January. Ba ana sehemu ya mkataba inasema anaweza kufanya usajili kwa paundi milioni 7 na Arsenal hawatashindwa hiyo.
So hadi sasa Demba Ba ametokeza kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Arsenal mwezi ujao. Bado kuna dalili za Fellaini kuwemo pia, maana kama Fallaini na Ba wakisajiliwa na Arsenal basi tumemaliza biashara.
Tutaangalia zaidi baada ya Boxing Day.
Comeon Gunners!
View attachment 75952 why why why????????????????
As long as Gervinho na Ramsey hawapo kwenye starting 11, basi tumeshashinda!!Arsenal team to play Wigan:
Szczesny, Sagna, Vermaelen, Mertesacker, Gibbs, Wilshere, Cazorla, Arteta, Ox, Podolski, Theo
As long as Gervinho na Ramsey hawapo kwenye starting 11, basi tumeshashinda!!
Leo naona vijana hawapo kwenye game kabisa!!!Sijui tunacheza nini tuu.....
Sijui tunacheza nini tuu.....
Leo naona vijana hawapo kwenye game kabisa!!!
Tukifanya uzembe yanaweza kututokea yale ya Swansea
Yeah, at this point we need Ramsey!!Tukiwapiga la pili nguvu itawaishia
Mda umefika wenger amtoe Wilshere,akipata kadi nyekundu noma mechi nyingi zinakuja