Nafurahia ushindi.... Ila hii 2nd penalty haikuwa fare... Ox alifanya dhambi kabla hajatendewa dhambi...Wakisema tumebebwa sitabisha
Nasikia mashabiki na wachezaji wa manshit wanamuota Carlos ... ... ... chijui kwa nini wanakuja kuwanga kwa Gunners ... ... .. wakati Fungie anafahamu tabia ya brown envelopes than any other coach in EPL. Nafahamu wanakoroma kwa chuki wakioa Gunners wanashinda kwa sababu our team makes the headlines every day all the time kisa prof. anawanyima usingizi na vijana leo hususan Carz na Jack walikuwa top of their games ... ... ... watch this space next distination .. ... Tuesday night kombe la mbuzi . ... ... . .
Penati zote za kupewa,nilishasema kila timu inabebwa tatizo wengine hawabebeki
Kusema ukweli mlituuzia RVP bei rahisi sana,watu wa Arsenal wanakasirika sana anavyofunga magoli ya ushindi pale Manu
Hizi habari za mashoga zimetoka wapi tena?
Halafu mbona siku hizi haumii au kuna mtu alikuwa anamloga
Kumbe ndiyo maana tunafungwafungwa hovyo! Yaani na wewe ni mpenzi wa Arsenal? Acha nizime decoder nikalale.Nona hawa vijana wametutangulia!
Tupo full kikosi but still tumeshapigwa kimoja! Hope we are going to come back stongly!!
Nona hawa vijana wametutangulia!
Tupo full kikosi but still tumeshapigwa kimoja! Hope we are going to come back stongly!!
Kuna huyu dogo Wells, naona anamsumbua sana Vermaelen!! Kidogo angetupiga cha pili!!Vijana wako wanisikilizia kibaridi cha BRADFORD kwanza.
Ila waangalie wasije shutukia wanapigwa cha pili sio LONDON kule
Uzime decoder kivip wakati unaangalia mpira bar??Kumbe ndiyo maana tunafungwafungwa hovyo! Yaani na wewe ni mpenzi wa Arsenal? Acha nizime decoder nikalale.
Nilikuwa najiuliza inakuwaje vibonde kama hawa Bradford watufunge lakini sasa nimepata jibu.
Kuna huyu dogo Wells, naona anamsumbua sana Vermaelen!! Kidogo angetupiga cha pili!!
Tayari Arsenal imeshalala!!Zimebaki dakika 14
HAWA WAFUGA KONDOO WATAWAFUNGA ARSENAL WASIPOKUA MAKINI