anajitahidi tatizo he cannot make accurate shots akipiga anapaisha lakini tusimuonee kacheza fresh Villa wameitafuta sana hiyo Point moja kwa kujaza Mabeki wengi
huyu mzee hana malengo mazuri na hii timu kwa kweli coz hata wanayoyafanya wachezaji wake yeye ndo mhusika mkuu wa yote haya anyway it was entertaining and competitive football
pia .... Santi needs a rest!leo ulikuwa ukimuona kachoka.. ramsey ni wa kutokea bench sub! ... kama yule dogo wa manure anakuwa mzuri akitokea sub akianza match ndo vile tena