mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Hata mimi ahaa ahaa ahaa glory hunter huyu kakimbia stress
Mkuu, nakubaliana na wewe lakini kumbuka kuwa timu yetu ni msiba kama siyo mzogaAcha mchecheto ... Cazorla got this
Hivi ikatokea kwenye Champions league hatua ya mtoano tukakutana na moja Kati ya timu hizi -
Man u, R.Madrid, Barcelona, Borusia Dortmond...Je tutatoka? Au sisi ni wasindikizaji tu? Maana
hatuna timu ya kucheza na timu hizo hapo juu
Chifu, thibitisha kauli yako. Thibitisha kwa mimi nilikuwa shabiki wa Liverpool.
La sivyo, nitake radhi.
Hivi ikatokea kwenye Champions league hatua ya mtoano tukakutana na moja Kati ya timu hizi -
Man u, R.Madrid, Barcelona, Borusia Dortmond...Je tutatoka? Au sisi ni wasindikizaji tu? Maana
hatuna timu ya kucheza na timu hizo hapo juu
Ila hawa jamaa Villa park wabaya sana aisee
wosjech,gibbs,per,kos6,podo,ramsey,wilshere,jekinson,giloud,cazorla,oxlade...subs:Tv5,sagna,mannone etc
Man utd,B.dortmund ni wa kawaida kama tukicheza mpira wa kazi tunapata matokeo hapo kiboko Ni Barca na Madrid ni kuomba kuwaepuka si timu za kucheza nazo
Usiwe na shaka vijana wako vizuri sana ... ...
Mpira wa kazi?!? Tumewakalisha chini mara ngapi sasa? Hivi mara ya mwisho Gooners kuifunga Man U ni lini vile?
Tena, mkipangwa na sisi UCL, tutawatupia sana. Mpaka siku hiyo Wenger ataomba koti la Fergie. Maana naona mnafikiri kuwa na souvenir ya Man U mnaweza kufuta kijela chake cha makombe.
Ngoja tuangalie mpira we shabiki wa Liverpool malumbano baadae
Ok Nadhani Wenger amefanya rotation.Leo .. good move ....
Chifu, mbona tuandikie mate wakati wino upo, thibitisha kama mimi ni shabiki wa Liverpool.
La sivyo utakuwa mpayukaji tu kama walivyo washabiki wa Arsenal. Oooppps, kumbe wewe ni Goner!!
J5 tutawafuata Everton lazima afanye mabadiliko .... Jenkinson na Gibbs wapate some matches ... ... ..
Wacha fujo angalia mpira ... ..
Lackadaisical performance. Goners' style.