Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Wapinzani mnataka wenger aoendoke tuwe another Liverpool... Haha..
 
Arsenal team: Mannone, Sagna, Koscielny, Mertesacker, Vermaelen, Coquelin, Arteta, Cazorla, Walcott, Podolski, Giroud;

Subs:
Szczesny, Jenkinson, Santos, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Arshavin, Chamakh
 
Mannone
sagna metsacker kosienly tv5
coquelin arteta santi
walcot podolsky
giroud
 
naona kama uwanja unagape gape kwenye viti vya chini...ndo mgomo unaanza mdogo mdogo nini?
 
Mtakalia tu leo! Hahaha, kazi mnayo! Shangilieni sana, David njoo The Blues bana, achana na hawa wakamata mitutu!

Maxence kaka angu hivi we unadhani ni Chelse tu??,mpira wa Burudani uko Arsenal sema hawachelewi kuchezea kichapo.
 
poor marking haka kaugongwa sijui kataisha mwaka gani
 
Mahudhurio ya kawaida mbona .. open game so far

mi naona kama leo pale chini magape yamezidi even co game kubwa kivile...ngoja game ikikaribia kuisha tuangalie idadi ya fans kama ipo ya cku zote manake huwa hawapungui elfu 60 most of game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…