hongereni kwa update zenu!nipo mbali na access ya dstv...dk ya ngapi ya mchezo?
kaka hali ngumu hapa... dk. 68 0-0
Kweli hali ni Ngumu saaana... mpaka tunaanza funga magoli ya Fluke kama haya....???? Haya bana Arteta....
lilikuwa la bahati mbaya nini?
Kipa katutoa...Ila hali Ngumu saaana...
Kipa katutoa...Ila hali Ngumu saaana...
Nashusha Pumzi naketi..... Game Over with Three Points and One Goal..... It will make a difference somewhere am sure...